The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Ni kama airport tu standard yakeWatanzania now wanaenjoy matunda ya kubana matumizi ya kipumbavu ya pesa na ku invest kwenye miradi yenye tija kama huu, ona watu wamepumzika wanaosubiri kusafiri na wengine wametoka safari so wanapumzika bure kabisa huku wakila upepo natural.
Zamani ilikuwa ukifika Ubungo unaanza kukutana na vumbi pamoja na harufu ya choo ukiwa nje, so ukiingia ndani hurembi Fasta umeamsha, kwanza sehemu ya kupumzika hamna lkn ona leo watu walivyojinafasi, alafu eneo kubwa halina watu viti vingi vipo empty.
Pia kuna floor zinazofuata zipo empty kabisa, kwakifupi ni ngumu sana kuijaza Magufuli bus terminal, Magu huyu dah, km kweli kuna pepo basi naamini kabisa huyu mzee ataionja ata kama sio yote lkn lazima ataionja tu, Mungu mkubwa tumuombee iwe hivyo.View attachment 1754620View attachment 1754622View attachment 1754626View attachment 1754627View attachment 1754628
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo. Wanasoma VETA, sekondari za binafsi au vyuo. Pia wengine husoma kwenye tuition centres mtaani na kisha kufanya mitihani ya kitaifa kama private candidates. Hivyo vituo vya mitihani ni both private & gvt.Kwa hiyo Tanzania hakuna wazazi wanasoma?
Ukipata mtoto ata na 30 years na wewe ni mwanafunzi huwezi rudi shuleni?
Magufuli na wewe mna shida ya ubongo.
Uzazi hauna miaka
Naona akili sasa zimeanza kurudi, watoto pia wana deserve second chance..wewe km mzazi unatakiwa ulijue hilo wala sio kufuata mkumbo wa siasa tuulikwepo wakati anapewa hiyo mimba...?
au wewe ndiye ulikuwa kuwadi wake
Uwezo wako wa kufiri ndipo ulipoishia sio
Hii project ikoje wakuu. Naomba nondo kidogo. Pia hapo ndipo ilikuwa Ubungo stendi, siyo?Progress ya Ubungo trading center wakuu ile pale nimepiga picha kisela.View attachment 1754563View attachment 1754564
Sent using Jamii Forums mobile app
Waiting lounge ndio kitu kinachokufanya ufurahike kupita maelezoWatanzania now wanaenjoy matunda ya kubana matumizi ya kipumbavu ya pesa na ku invest kwenye miradi yenye tija kama huu, ona watu wamepumzika wanaosubiri kusafiri na wengine wametoka safari so wanapumzika bure kabisa huku wakila upepo natural.
Zamani ilikuwa ukifika Ubungo unaanza kukutana na vumbi pamoja na harufu ya choo ukiwa nje, so ukiingia ndani hurembi Fasta umeamsha, kwanza sehemu ya kupumzika hamna lkn ona leo watu walivyojinafasi, alafu eneo kubwa halina watu viti vingi vipo empty.
Pia kuna floor zinazofuata zipo empty kabisa, kwakifupi ni ngumu sana kuijaza Magufuli bus terminal, Magu huyu dah, km kweli kuna pepo basi naamini kabisa huyu mzee ataionja ata kama sio yote lkn lazima ataionja tu, Mungu mkubwa tumuombee iwe hivyo.View attachment 1754620View attachment 1754622View attachment 1754626View attachment 1754627View attachment 1754628
Sent using Jamii Forums mobile app
The best 007 maelekezo tafadhali.Kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kuhusu ilipokuwa stendi ya mabasi Ubungo.
Ila Kuna shughuli tofauti inaendelea pale!
Brief introduction to the project of
East Africa Commercial & Logistics Center.
Yah hapo ilikuwa Ubungo stand, babayao255 jana aliweka link humu kuhusu hii project.Hii project ikoje wakuu. Naomba nondo kidogo. Pia hapo ndipo ilikuwa Ubungo stendi, siyo?
Thanks, nimeiona hapo juu. Ngoja niipekue.Yah hapo ilikuwa Ubungo stand, babayao255 jana aliweka link humu kuhusu hii project.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuja kusoma pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo Chamwino Ikulu kuna shughuli ya kutunuku maafisa wanafunzi hitimisho la mafunzo, pamoja na bendera za mataifa mengine zikimaanisha uwepo wa wanafunzi kutoka mataifa hayo, nimeona pia bendera ya Kenya, kulikoni?
View attachment 1754575View attachment 1754576View attachment 1754577
Hapo kweli nmekuelewa, mana hata mm nikawa nashangaa sana inakuwaje mkenya umchukie Rais ambaye siye wako namna hii? Nkawa nashangaa sana hata Wakenya pia nadhani walikuwa wanamshangaa sn mashashola inakuwaje mtu keshakufa lkn huyu mkenya bado anamsimanga? Sema wakawa hawasemi mana Wakenya wa humu hawasemani [emoji1787][emoji1787]Ni choice variable huyo kabisa, sijui Magufuli alimfanyaga nini, wakenya wanaweza kuwa hawamkubali sana Magufuli lakini hawajafika chuki ya choice variable anaejifanya mkenya, halafu alivyo mpumbavu sijui anafikiri hizi harakati zake Magufuli anaziona?
Jamaa mpumbavu sana, unakuaje na uchungu kiasi hiki kwa long decomposed substance? Kitu hata hakina feelings literally hakipo kama sio utaahira huo ni nini?
WanatakajeWanazengo, nasikia tetesi huko hawataki kumpa mama uenyekiti.
CCM kweli ina wenyewe, wapinzani wangekuwa wanajitambua huu ulikuwa mda wao wa kuchukua nchi sema hatuna wanasiasa wapinzani makini bali tuna wapinzani malaya tu kushoto kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanazengo, nasikia tetesi huko hawataki kumpa mama uenyekiti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaweza kuta baba wa komora096 katelekeza familia inashinda JF amebaki huko akipewa backshots!
Moro to makutupora project