Au inawezekana huyu choice variable alikuwa punda mbeba sembe! 😀 😀 😀 😀Hapo kweli nmekuelewa, mana hata mm nikawa nashangaa sana inakuwaje mkenya umchukie Rais ambaye siye wako namna hii? Nkawa nashangaa sana hata Wakenya pia nadhani walikuwa wanamshangaa sn mashashola inakuwaje mtu keshakufa lkn huyu mkenya bado anamsimanga? Sema wakawa hawasemi mana Wakenya wa humu hawasemani [emoji1787][emoji1787]
Dah ila leo ndo nmejuwa kumbe ni choice variable aisee dah alafu anajifanya Mkenya eti, aisee huyu choice variable sijui alifanywa nn na magu huyu, mm nahisi alikuwa miongoni mwa wenye vyeti feki ss Magu alipoingia akawatoa ss ndio amekuwa na chuki kiasi hiki aisee Dah.
Choice variable vumilia tu mkuu, Magu ilimbidi afanye vile ili atufikishe hapa tulipo kwamba now tunatamba mbele ya Wakenya walokuwa wanaleta dharau dhidi yetu, siumeona jinsi tunavyotamba? Tangu asubuhi nawakimbiza na hawajibu kitu, ili likamilike jambo hili ilibidi Magu a risk maisha kwa kufanya yale aloyafanya ikiwemo kuwapunguzeni nyie wenye vyeti feki, lkn wala co kwamba alikuwa hakupendi No, kwnz hata hakuwa anakujua.
Move on mzee japo inauma mana ndo ushatoka serikalini hata ufanyaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu NicxieNdio maana nikamwambia ka hunielewi, na naona tayari kichwa kizito hicho, pitia YouTube uangalie. Sasa kama one of the best military academies in Africa haitoi BSc in Military Science, si ni "certificate ya kudensi" ndio wanapatiwa huko na ukumbuke ndugu zenyu tuko nao huku kwa camp. Njooni muwachukue wasipewe "Certificates" 🤣🤣🤣
Nani anapaswa kuwa?Majaliwa akiwa press tumepigwa
Huko tulifanya tuko zamani, huangalii news? 😂
Huu Uzi wakati unaanzishwa Dar haikua na flyover,SGR wala haikua imeanza kujengwa na highway ilikua haijajengwa,Kipindi icho hata JNIA Ulikua ndogo tu isingeweza kushindana na JKIA ....
Muda ni mwalimu mzuri sana Leo Hii tumepiga hatua kubwa sana ndani ya muda mfupi
Mbn kinyonge sn [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86]Safi sana
Kipande cha Keko kutokea Shaurimoyo karibu na MSD na TANAPA.Inayoenda Bandarini sio kile kipande kule kinachokatiza Nyerere road pale Toyota? Sina uhakika lakini ni kipande kipi cha Darajani au Pale Toyota Banda la Ngozi.
President Uhuru Kenyatta on Thursday 11/26/2020-presided over an Officer Cadets Commissioning Parade at Kenya Military Academy in Lanet, Nakuru County.Doh. Kumbe ninyi ni wateja wetu toka zamani na mmesheheni kwenye academies zetu
View attachment 1754815View attachment 1754817View attachment 1754818View attachment 1754820View attachment 1754822View attachment 1754824
Ila hata mm nmeanza kuona kama jamaa ameiva kuwa president.Wakifanikiwa watatisha sana, Majaliwa anatakiwa awe Rais 2025, mama akipewa atataka mpaka 2030
Huenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au inawezekana huyu choice variable alikuwa punda mbeba sembe! 😀 😀 😀 😀
Kwamba hata maji yakipita chini yasile udongo yakasumbua nguzo au?Wakuu mmeona madaraja Dar Moro wanavyofanya chini?
View attachment 1754886
View attachment 1754887
View attachment 1754888
View attachment 1754889
Ila hii reli kwa kweli ni mwana ukome Afrika inapaswa kujifunza kutoka Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@NDINDA hawaamini wanachokionaa dah unawaumiza kakaaWakuu mmeona madaraja Dar Moro wanavyofanya chini?
View attachment 1754886
View attachment 1754887
View attachment 1754888
View attachment 1754889
Ila hii reli kwa kweli ni mwana ukome Afrika inapaswa kujifunza kutoka Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni noma chief wataelewa tuNaona jamaa wameamua kufanya kufuru