President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Maelezo yake haya hapa Mzee. Leta maelezo utuomeshe kama ni zipo fighter helicopterHio ndege ina aina kadhaa. Kuna ya civilian na kuna ya military. Sasa sijui unapingana nini? Ama unataka nikuletee video uone MD-500 ikirusha kombora ndio uamini?
Nakumbuka mwaka 2016 kulikuwa na tetesi kuwa serikali ilitaka kuchukua Mi-17 helicopters kutoka Urusi.Linganisha takataka hizo na mzigo huu
View attachment 1755722
Ukitaka kujua Watanzania ni moto wa kuotea mbali basi tembelea jukwaa la Jamii Intelligence [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya kijeshi ni siri kubwa.Nakumbuka mwaka 2016 kulikuwa na tetesi kuwa serikali ilitaka kuchukua Mi-17 helicopters kutoka Urusi.
Tanzania Bids for Russian Military Supplies
Tanzania has approached Russia to supply the country's new weapons and military equipment, state-owned news agency RIA Novosti reported Wednesday.www.themoscowtimes.com
Ila aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati huo alikanusha.
Kenya ni failed state, almost counties zote za mipaka na Ethiopia, Somalia, Sudan hakuna uwepo wowote wa serikali ni kama free territorial zones huko hata kdf akipasikia anastaafu kwa hiari ndio maana civilians wwnamiliki silaha na serikali haiwezi kuwafanya loloteKunyaland kuna mambo haya
View attachment 1755745
Wewe ni wazimu. By the way Marekani pia inatumia ndege za MD-500 kwenye vita. Najua unatuona Wakenya tukiwa wajinga sana sasa sijui unawaona Wamarekani pia wakiwa wajinga kwa kutumia ndege za MD-500 kwenye vita? Hizi ndege ni multi-purpose na zinaweza kuwa retrofitted to suite a military or civilian purpose. Kama huelewi mambo ya ndege si ungenyamaza tu. Nimekuuliza swali umekataa kujibu. Nimekuuliza je unataka nikuletee video ya MD-500 ya Kenya ikurisha kombora huko Somalia ndio uamini?Hizo ulizoweka ni civilian Mzee. Au huoni maelezo yake!?
Hizo helicopter hazina weapons yoyote.
Linganisha hizo na H225M.
Ingekuwa Wakunya ndo mnaishi kwenye ardhi ya Tanzania muda huu ninavyo andika hapa kungekuwa na vikundi vya kigaidi kila pembe ya nchi...kingine nchi ingesha meguka na kuzaa vinchi vingine vidogo vidogo [emoji23][emoji23][emoji23]Bongolala kuna military kweli[emoji33]
I admired him for a reasonmkuu uko deep [emoji91]
Juzi c mlikua mnalia eti mnauwawa hapo congo na mapanga?Kunyaland kuna mambo haya
View attachment 1755745
Ndio ni kweli.Mambo ya kijeshi ni siri kubwa.
Compare and contrast ni kama mbigu na ardhi.Hio ndege ina aina kadhaa. Kuna ya civilian na kuna ya military. Sasa sijui unapingana nini? Ama unataka nikuletee video uone MD-500 ikirusha kombora ndio uamini?
Mzee sitaki maelezo yako maana nyie ni wazee wa kupika data. Weka attachment ya hiki unacho kuongea.Wewe ni wazimu. By the way Marekani pia inatumia ndege za MD-500 kwenye vita. Najua unatuona Wakenya tukiwa wajinga sana sasa sijui unawaona Wamarekani pia wakiwa wajinga kwa kutumia ndege za MD-500 kwenye vita? Hizi ndege ni multi-purpose na zinaweza kuwa retrofitted to suite a military or civilian purpose. Kama huelewi mambo ya ndege si ungenyamaza tu. Nimekuuliza swali umekataa kujibu. Nimekuuliza je unataka nikuletee video ya MD-500 ya Kenya ikurisha kombora huko Somalia ndio uamini?
Hio ndege yenu hairushi kombora yetu inarusha kombora sasa sijui unacompare nini? Yenu ni transport helicopter. Halafu nimekuambia sisi tuna MD-500 zaidi ya 30. Nyinyi helicopter aina hiyo mnazo chini ya tano. Idadi pia ni muhimu. Lazima tuzingatie idadi.
Hivi hizo MD-500 si ndio zile zinazo anguka ovyo kule kenya?Mzee sitaki maelezo yako maana nyie ni wazee wa kupika data. Weka attachment ya hiki unacho kuongea.
Mimi evidence yangu ni hii;-
Zenu ni za mwaka 1967 zetu za mwaka 2005.
View attachment 1755776View attachment 1755777
Nimekuambia hizo helicopter ujinga mtupu.Hio ndege yenu hairushi kombora yetu inarusha kombora sasa sijui unacompare nini? Yenu ni transport helicopter. Halafu nimekuambia sisi tuna MD-500 zaidi ya 30. Nyinyi helicopter aina hiyo mnazo chini ya tano. Idadi pia ni muhimu. Lazima tuzingatie idadi.
Ndio ni za zamani mno technology yake ya mwaka 1963 Kenya ikiwa inapata Uhuru. Ndio maana zimenunuliwa na Uhuru kumbukumbu yao ya Uhuru.Hivi hizo MD-500 si ndio zile zinazo anguka ovyo kule kenya?
Geza Ulole
Na unaweza kuta ni second hand maana wakunya huwa wana allergy na vitu vipya!Ndio ni za zamani mno technology yake ya mwaka 1963 Kenya ikiwa inapata Uhuru. Ndio maana zimenunuliwa na Uhuru kumbukumbu yao ya Uhuru.
Wewe unaniambia kama nani? Unajuaje kwamba hazina weapons? Kwa hivyo ninapokuambia kwamba zinarusha kombora nakudanganya? Kwa hivyo mimi ni wazimu niseme kwamba zinarusha kombora ikiwa hazirushi? Unachukulia kila mtu kwamba ni mjinga huku. Halafu nimekuuliza kama unataka nikuletee video uone ikirusha kombora na umenyamaza. Hujajibu hilo swali. Anyway wacha nitafute hio video nikuwekee uwache kunipotezea muda ukipingana ujinga. Hizo ndege zina kombora. Period. Upende usipende. Tulia nikuwekee video na uwache kupingana hovyoNimekuambia hizo helicopter ujinga mtupu.
1. Hazina weapon zozote.
2. Zinabeba watu hawazidi 4.
3. Technology ya 1963
4. Ziketengenezwa kwaajili ya police
Evidence:
View attachment 1755785
Ziko mpaka na nembo ya Kichina, dah, picha zenyewe zaonyesha kabisa sio Tz hapo! 🤣 🤣 🤣Basi nenda ukawasaidie ndugu zako wananjaa.
Hii inaitwa SA-3 Goa
Tumezisimika pote mpakani.
Zipo zaidi ya 50
View attachment 1755676View attachment 1755677