kwani kuna taifa lisilojua kuwa mambo hayaendi mbele...Sina time ya kushindana na wasiojua kitu, endeleeni kukaa kambini mkijimwambify vita vya "past". Mambo yanaenda mbele /yanabadilika!
[emoji1787][emoji1787] hii si city bus aisee duuh!!! mnatumia mitumbwi kupeleka abiria city-city....Introducing, SilverCruz ;Nairobi-Kisumu route
Umeruka kwa Alshabab, sijakwambia Alshabab tumewamaliza ujue, bado wapo, tena wengi tu. Wewe mwenye kushinda vita, hao vijana misituni si mwatoe, waishe, hao ata siwezi waita "terrorist" hata kama wanafanya maovu kwa jamii. Vifaa kama vya msomali, hawana. Fanyeni bidii ndugu zetu! π€£ π€£ π€£ππ Ila we jamaa, kwani hao wanamgambo wa alshabab mmemalizananao.? Nilichotaka kukwambia hapo ni kwamba wanajeshi wetu hawapo kambini tu kama unavyojidanganya, tunasaidia mataifa jirani pia (that's the indicator of powerful country) tunajiweza mpaka tunatoa na misaada kwa jirani ππ
Kuna watu wako enzi za mau mau naona! π€£kwani kuna taifa lisilojua kuwa mambo hayaendi mbele...
wacha ushamba
Ndugu ukiwa unapiga mtu silaha zingine unazificha unaanza na silaha ndogo ndogo. Tulimgonga na Helicopter H225M na akapotea. Na hizo bado tulikuwa hatujazigusa.View attachment 1756235
Bro Venus Star jana ulivyokua ukibishana na bro Tony254 sijaona ukizitaja hizi ndege zetu za kijeshi,mana tony alidai sisi tuna ndege za kijeshi zisizozidi 40 ππ ilihali kila uwanja wa ndege hapa tz utakutana na ndege za kijeshi zisizopungua tano, hiyo ni nje ya makambini, by the way hizi zinaitwaje ka mkubwa.? mjuzi wa mambo haya, heb niweke sawa mdogo ako
Ukiachana na peace keeping jeshi letu lilikomboa nchi za kusini mwa afrika tuliwafukuza mabwana zenu.tumpiga Idiamin kila tulipoenda tulishinda vita.Na bado mnaleta wanafunzi wa kijeshi huku kwetu pia. Mbona hivyo? [emoji23]
Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996β1999), MONUA in Angola (1997β1999), and UNTAET in East Timor (1999β2001).
Mitumbwi ndiyo tuipendayo![emoji1787][emoji1787] hii si city bus aisee duuh!!! mnatumia mitumbwi kupeleka abiria city-city....
huo mkweche kabisa
We jamaa mshamba sana. Usafiri wa mabasi mazuri Tanzania ni kama Ο.
ππ Umekuja mzima mzima, acha nianze kukuchapa sasa kama mtoto mdogo
Tanzania ni kama....?We jamaa mshamba sana. Usafiri wa mabasi mazuri Tanzania ni kama Ο.
π π πππ Umekuja mzima mzima, acha nianze kukuchapa sasa kama mtoto mdogo
Tulia ntakuaibisha na magari yako mabovu hayo
Mzee ukiweza kuleta video kama hii kutoka kenya nitakupigia makofi.
Sidhani kama atarudi tena kwenye mada hiyo. Aboud ikiingiza mzigo mpya sokoni πππ