Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Wakenya wabaya, Mungu anisamehe sana kwa dhambi ya kuongea ukweli dhidi ya wanadamu wenzangu. "eeeh Mungu nisamehe kwa makosa haya"

Dah! ila jamaa ni wabaya mno!
 
Nina wasi kama hii ni Mercedes Benz halisi! Imekaa kama Tata!

Kitu pekee cha Benz hapo ni hilo logo mbele wamebandika, hilo ni lori la canter/ Isuzu wamebadiliaha Body , angalia komeo la mlango [emoji23] , kama la getho la msela, halafu angalia na madirisha kama ya zege [emoji23]. Kama ni Benz akuambie model gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…