Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

@komora096 njoo uone Benz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Bwahahah!!mjonga ana support ujinga[emoji23][emoji23]mtahangaika sna na michina
 
eti Benz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji90][emoji1787][emoji90][emoji1787][emoji90][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
komora096
Leo nataka kumkamata mjinga[emoji23][emoji23]
Mercedes benz ni nn tuanzie hapo, leo nataka nikutoe matongo tongo kuhusu gari na body..

Manake sisi km kenya tunajiundia body, buy kenya build kenya[emoji110][emoji110][emoji110]
 
Maisha ya kenya ni magumu kw wageni km nyie watz, mtanzania akija kenya atakufa njaa manake kila kity kitamshinda kuanzia bills mpka bidhaa na huduma zingine na wakaati mkenya wa kawaida akija tz ana mudu na kuwekewa heshima kitaani..

Stay to your lane please!!
 
Elimu yenu mbovu sana, yani hata kusoma uelewe huwezi..we unafikiria india haina uwezo wa kujenga miundombinu km ya japan..
Uchumi wao ni mkubwa na una wawezesha, tatizo uongozi mbovu na mfumo wao no mbovu pia..

Yani unakuja kujibu kw point za kijinga sana
 
sjakuelewa ka vip screenshot iyo post twende sawa
 
alisikika mlevi mmoja akiongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pumba.com
 
Well said comrade

Tunatakiwa Kuja na standard yenye mantiki kwenye kupima maendeleo ya nchi na sio gdp
Kwn uliambiwa GDP ndio maendeleo, nyie kweli mabwege..
GDP pia ina umihimu wake katika nchi, nyie km hamtaki tueni.
 
alisikika mlevi mmoja akiongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pumba.com
Wenzenu wachuuzi wa gikomba kutoka tanzania wanaishi kw slums, madanguro yenu yaliyotokea hko yaniashi slum areas..

Narudia tena, mtanzania wa kawaida maisha ya kenya hayamudu hata kwa chembe we ukitaka lia sasa[emoji23][emoji23]
 
What about the welfare of the citizens?
There are countries with largest GDP, but poor citizens wellbeing.
E.g Nigeria vs Botswana. USA vs Sweden etc
 
Bwahahah!!mjonga ana support ujinga[emoji23][emoji23]mtahangaika sna na michina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji85][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Leo nataka kumkamata mjinga[emoji23][emoji23]
Mercedes benz ni nn tuanzie hapo, leo nataka nikutoe matongo tongo kuhusu gari na body..

Manake sisi km kenya tunajiundia body, buy kenya build kenya[emoji110][emoji110][emoji110]
Mercedes Benz ni[emoji116][emoji116]
 
India inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maskini duniani, Japan ina watu wenye kipato kikubwa kuwazidi Marekani

In short Japan population ni 126 million
Wakati India population ni 1.5 billion

Wewe mkenya ni kilaza kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…