Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bibie kiswahili chako kina improve siku hadi siku,ukishakijua sawa sawa sasa utakavyowaringia mungiki wenzio!
Wenzenu wachuuzi wa gikomba kutoka tanzania wanaishi kw slums, madanguro yenu yaliyotokea hko yaniashi slum areas..

Narudia tena, mtanzania wa kawaida maisha ya kenya hayamudu hata kwa chembe we ukitaka lia sasa[emoji23][emoji23]
 
Well said mkuu. Ila sijakusoma kwenye hiyo aya ya katikati. Naomba unifafanulie kidogo twende sawa.

Ila nina hofu Rioba anaweza kukatwa mabega mda wowote. Itambidi apunguze matumizi ya neno "mabeberu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hilo neno ni chukizo kwa wenye nchi ambao ninaamini pasi na shaka kuwa "they are back to business".
 
We jamaa ujinga wako wa kijinga sana. Unasema wanaweza ila tatizo mfumo mbovu! Sasa wanaweza nini hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]. Unaona sasa? Sasa hapo fananisha GDP yenu na hicho ulichoandika halafu uniambie mwenyewe. Shule ulipigwa ada wewe.
 
Kwn uliambiwa GDP ndio maendeleo, nyie kweli mabwege..
GDP pia ina umihimu wake katika nchi, nyie km hamtaki tueni.
Please ask those goons to show you anywhere that Tanzania has been ranked ahead of Kenya in terms of development, I'm waiting for their answer.
 
What about the welfare of the citizens?
There are countries with largest GDP, but poor citizens wellbeing.
E.g Nigeria vs Botswana. USA vs Sweden etc
Ok let's compare Kenya Vs Tanzania
1. Kenyans have the ability to save their money in banks. Watanzania wanaficha pesa zao chini ya kitanda.
2. Kenyan kids have better education environment and every year their is 100% post primary transition. Tanzanians kids drop out of schools every year in thousands due to lack of teachers and classes.
3. More than 7.6M kenyan households enjoys electricity compared with only 2.7M Tanzanians despite Tanzania having huge population.
4. Close to Half of Kenyans are insured, less than 1% of Tanzanians are insured.
5. Kenyans enjoy longer paved road network of high quality while Tanzanians have only 12,000km of poor quality road network in their country.
6. Working Kenyans are paid more money compared to their counterparts in Tanzania.
7. Kenyans have better healthcare compared to Tanzanians and that's why most Tanzanians wenye wanajiweza are crossing over to be treated in Kenya.
8. Higher percentage of Tanzanians are poor compared to Kenyans.
 
Naona unadunga hawa watu sindano mzito kabisa. Endelea vivyo hivyo. Wajue Tanzania sio ligi ya Kenya. Wao bado wanacheza baby league.
 
Wenzenu wachuuzi wa gikomba kutoka tanzania wanaishi kw slums, madanguro yenu yaliyotokea hko yaniashi slum areas..

Narudia tena, mtanzania wa kawaida maisha ya kenya hayamudu hata kwa chembe we ukitaka lia sasa[emoji23][emoji23]
haujaeleweka mzee ongeza sauti[emoji41][emoji41]
 
Mzee hayo masuala ya kuandika na kutafuta statistics kwenye paper. Yaimeisaidia nini Kenya kuondokana na;-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…