Kifo kitafute humu kwanza ukitoka ww mwanaume π€£π€£π€£ππππTuache kwanza tuna msiba hku jichoboi kafa kifo cha mende
Mzee nikuache vipi. Tunaongelea vitu real hatutaki kuongelea utajili wa watu binafsi.Tuache kwanza tuna msiba hku jichoboi kafa kifo cha mende
Alafu Nairobi imepita Lagos kwa utajiri according to knight Frank ππHta nimeamua kumuacha kwanza hivi, hivi sasa imekua www.knightfrank.com sio official[emoji23][emoji23]
Mwarabu koko leo mavi kitambarani maskini
Umsamehe mm au knight frank πππ leo blog imewakalisha kuti kavu mamaeee mukajua hesabu zile za dukani chai na mandaziTumsamehe tu maskini huyo ni yatima wenzake wametelekeza kw sasa...
Huenda hata posho yake akakosa hapo kesho
Sasa si hyo hapo juu..Kwani hii nakupa ni nini toka mwanzo nimempa atafute mbona hamuitaki officila blog kuna shida gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
The Wealth Report 2022 | Knight Frank
Read The Knight Frank Wealth Report 2022 and explore the insights behind wealth generation and movement; how UHNWIs are investing; how wellness and sustainability trends are impacting global real estate markets β both residential and commercial.www.knightfrank.com
According to knight frank blog yao hii hapa sasa tuoneshe kua nairobi imepita lagos kupitia offical blog yao π€£π€£π€£πππ
13000ksh si ni mishahara ya mboch hyo[emoji23][emoji23]we unatoa wapi data zakoMzee nikuache vipi. Tunaongelea vitu real hatutaki kuongelea utajili wa watu binafsi.
Je, salary yenu vipi!?View attachment 1759900View attachment 1759901View attachment 1759902View attachment 1759903
Sasa si hyo hapo juu..
Teargas hii ni official link ya wapi www.knightfrank.comView attachment 1759899
Huyo jamaa akili inamuachaπππSasa si hyo hapo juu..
Teargas hii ni official link ya wapi www.knightfrank.comView attachment 1759899
Mimekosa kwenyw blog π€£π€£π€£π€£ nilijua hamutoki na hamutatoka eti lagos imepitwa na nairobi kwa millionare hahahahahaha haya maisha jamani ππππSasa si hyo hapo juu..
Teargas hii ni official link ya wapi www.knightfrank.comView attachment 1759899
Mm au hiiiiπ€£π€£π€£π€£ππHuyo jamaa akili inamuachaπππ
Nipe tofauti ya hzo screenshot mbili[emoji23][emoji23][emoji23]According to knight frank blog yao hii hapa sasa tuoneshe kua nairobi imepita lagos kupitia offical blog yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
The Wealth Report 2022 | Knight Frank
Read The Knight Frank Wealth Report 2022 and explore the insights behind wealth generation and movement; how UHNWIs are investing; how wellness and sustainability trends are impacting global real estate markets β both residential and commercial.www.knightfrank.com
Kuna macho huoni data zimetoka wapi!?13000ksh si ni mishahara ya mboch hyo[emoji23][emoji23]we unatoa wapi data zako
Aibu imemtanda ajabuHuyo jamaa akili inamuacha[emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu iko kwa blog hii π€£π€£π€£πππ imekua yamotoAibu imemtanda ajabu
Nakupa tofaut hapa nitafutie huo ushuzi humu ndani π€£π€£π€£ππππNipe tofauti ya hzo screenshot mbili[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1759914View attachment 1759915
Huenda ikawa umeokoteza link[emoji23][emoji23]Kuna macho huoni data zimetoka wapi!?View attachment 1759910View attachment 1759911View attachment 1759912View attachment 1759913
Tafuta ushuzi kutoka kwenye blog yao wenyewe kwamba nairobi inamillionares wengi kuliko lagos π π π π leo nimecheka sanaHuenda ikawa umeokoteza link[emoji23][emoji23]
Tanzania hamna mishahara ya maana kutuliko wakenya, yani hapa nkm jnataka kuanzisha mjadala ambao mwisho utaukimbia..
Chagua tuanze na sector gani nikupige haraka haraka nilalae