Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majukwaa ya ushirika yapo pande 3 na stadium ina uzio pia [emoji2522][emoji28][emoji28][emoji28]

Huwezi linganisha na mazizi yenu aka viwanja vya gulio [emoji23][emoji23][emoji23]
Tz kuna stadium tano pekee...nitarudi kuwachambua sasa nimeona stadium moja imepostiwa mara mob....sai niko job [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tz kuna stadium tano pekee...nitarudi kuwachambua sasa nimeona stadium moja imepostiwa mara mob....sai niko job [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii pia mngeshaiita most modern arena ever ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lakini kwa Tanzania hatuitambui kaaabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ