Na kama ningeweza kumjibu ni eti waTanzania wachache ndio wako na uwezo wa kuwekeza nje ya nchi yao., how many tried but failed?., Hawawezi kufika kumi nakuambia!., A sober discussion there, wacha tuone matunda yake.huu ndiyo ukweli wa mambo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kenya na wafanyabiashara yake wanahofia sana wawekezaji wa Rz coz wanajua chamoto kitakachowatokeaView attachment 1774084
Mama amefunga mjadala, ameisifu Nairobi na kukubali ni half London. Sasa kama Rais kakubali na yeye ni Rais wa pili kusema hivyo wewe ni nani upinge
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
huo ndiyo ukweli na upo wazi,,wakenya tumewapa sana nafasi ila wao ni mziki utapigwa dana dana mpaka basi ,,,Nakumbuka hiyo niliandikiaga thread
See the hypocrisy of Kenyan media on balanced reportage
Why Tanzania, Kenya trade ties blow hot and cold The price of Tanzaniaβs onions imported by Kenyan traders keep shifting. It increased from Sh108 per kilo in February this year to Sh118 in April due to logistical challenges posed by coronavirus testing at the Kenya-Tanzania borders. When...www.jamiiforums.com
Idiotic policies za mwendazake za kushtukia na covid19 restrictions played a huge role, which was felt globally, haimaanishi eti it's the norm chief CCM propagandist., think!π Mama anaweka mambo sawa EAC, blind patriots hamuna lenyu.Nakumbuka hiyo niliandikiaga thread
See the hypocrisy of Kenyan media on balanced reportage
Why Tanzania, Kenya trade ties blow hot and cold The price of Tanzaniaβs onions imported by Kenyan traders keep shifting. It increased from Sh108 per kilo in February this year to Sh118 in April due to logistical challenges posed by coronavirus testing at the Kenya-Tanzania borders. When...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787] usiupinge ukweli mzee ojwani,Na kama ningeweza kumjibu ni eti waTanzania wachache ndio wako na uwezo wa kuwekeza nje ya nchi yao., how many tried but failed?., Hawawezi kufika kumi nakuambia!., A sober discussion there, wacha tuone matunda yake.
Eti waoga, ni nyie hamuna mental frame ya ku survive any global business environment that need shrewdness and some level of intelligence to navigate through. Jikubali wacha vijisababu uchwara, ukweli uko wazi., basi kama ni ukweli mko sawa na tunawaogopa mngekua DRC kuliko Kenyaππ, kuna soko kubwa kule! utasema Kenya imewafungia?., Na Burundi and Rwanda je? Hawa ni majirani zenyu mbona bado Kenya inawafunga bao huko? South Sudan? Ghana? Inaonyesha fikra zako ni outright fallacious! East Africa nyie wanyonge sana ikija biashara nje ya border zenu, waganda wamewashinda kwa hili., na soon Rwanda wako njiani.,huo ndiyo ukweli na upo wazi,,wakenya tumewapa sana nafasi ila wao ni mziki utapigwa dana dana mpaka basi ,,,
na anko wangu alitaka kufanya jambo kubwa sana kenya la kibiashara lakini kilichomkuta ni kanjanja tu za kutosha akaamua kuvuka upande mwingine,,
wafanya biashara wa kikenya na serikali yao kwa ujumla ni waoga sana kwa Tz ,wanahofia sana market yao kushikwa na wafanyabiashara wa Tz
Azam angefanikiwa kuingia mombasa nadhani sasa hivi angeshaiteka mombasa yote kwa bidhaa zake.huu ndiyo ukweli wa mambo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kenya na wafanyabiashara yake wanahofia sana wawekezaji wa Rz coz wanajua chamoto kitakachowatokeaView attachment 1774084
Azam has weak products, he sells a lot in Mombasa, very useless stuff, kule coast ako na watu wa ukoo wake na marafiki, huyu Kenya hatoboi, poor standards za products zake haziwezi survive here, energy drinks na juice ziko na after taste!!., Kenya shoprite walishindwa wakafunganya virago ndio Azam ataweza? Abaki tu kwa media, pengine atajaribu kidogo.[emoji1787][emoji1787] usiupinge ukweli mzee ojwani,
watz huwa hatufungui vikampuni uchwara sisi tukija kuwekeza tunawekeza kweli na kwa taarifa yako kama haujui wafanyabiashara wote wakubwa wa tz waliotaka kufungua viwanda kenya government yenu ikishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara waliwaletea figisu figisu mpaka wakastopisha mipango...
Azam akianzisha kiwanda huko atateka soko la kenya nzima..
ninyi ni waoga mpo radhi kuweka mzungu ila Mtz akitaka kufanya jambo huko huwa mnajikanyaga kwa kuweka figisu
Eti waoga, ni nyie hamuna mental frame ya ku survive any global business environment that need shrewdness and some level of intelligence to navigate through. Jikubali wacha vijisababu uchwara, ukweli uko wazi., basi kama ni ujweklli mko sawa na tunawaogopa mngekua DRC kuliko Kenyaππ, kuna soko kubwa kule! utasema Kenya imewafungia?., Na Burundi and Rwanda je? Hawa ni majirani zenyu mbona bado Kenya inawafunga bao huko? South Sudan? Ghana? Inaonyesha fikra zako ni outright fallacious! East Africa nyie wanyonge sana ikija biashara nje ya border zenu, waganda wamewashinda kwa hili., na soon Rwanda wako njiani.,
Acha kujidanganya we bwege heb taja brand tofauti na brand za tz, ambayo inaweza kuwa competitive na brand ya Azam.? ππ Ila we jamaa unajipa moyo sana,sisi tz ndio tunamiliki AE biggest brandsAzam has weak products, he sells a lot in Mombasa, very useless stuff, kule coast ako na watu wa ukoo wake na marafiki, huyu Kenya hatoboi, poor standards za products zake haziwezi survive here, energy drinks na juice ziko na after taste!!., Kenya shoprite walishindwa wakafunganya virago ndio Azam ataweza? Abaki tu kwa media, pengine atajaribu kidogo.
I have no business to lie, what do I have to gain c'mon Mr.π€£π€£π€£π€£ danganyeni watu huko nairaland sio hapa
Prove that by showing me other investments mumewekeza kwa neutral ground vs Kenya, kwa mfano DRC, Rwanda, Uganda, Burundi, Ghana, Zambia, Nigeria, South Sudan etc., kama mko na uwezo, wacha kupiga kifua yenye hamunaππ., Kama ni ukweli kwa sasa hivi hayo makampuni yangekua yameteka soko la EAC na SADC kuliko Kenya., na pia profits zao inalazimu mkusanye makampuni kama zaidi ya tano ndio ilingane na mapato ya the best from Kenya,π mapato ya 10 best performing companies za Kenya kwa ujumla ni zaidi ya kampuni zenu 30 to 40! Unajua hilo?.,. Uliambiwa ukabisha haya SASA majibu hayo hapo, nyie hamtuwezi hata kidogo na tukipata fursa ya kufanya investment kwenu basi ujue ndio tumewatawala, mnatuogopa na vibiasha vyenu ucharwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni uwoga,,waambieni wafanyabiashara wenu na hiyo government yenu kuwa wafungue spana ,Tz haiji kenya kuchukua nchi bali inakuja kuteka biashara ueoga hauna maana,,,Eti waoga, ni nyie hamuna mental frame ya ku survive any global business environment that need shrewdness and some level of intelligence to navigate through. Jikubali wacha vijisababu uchwara, ukweli uko wazi., basi kama ni ukweli mko sawa na tunawaogopa mngekua DRC kuliko Kenya[emoji23][emoji23], kuna soko kubwa kule! utasema Kenya imewafungia?., Na Burundi and Rwanda je? Hawa ni majirani zenyu mbona bado Kenya inawafunga bao huko? South Sudan? Ghana? Inaonyesha fikra zako ni outright fallacious! East Africa nyie wanyonge sana ikija biashara nje ya border zenu, waganda wamewashinda kwa hili., na soon Rwanda wako njiani.,
πππππ can't argue with blind patriotism.πππ.,Acha kujidanganya we bwege heb taja brand tofauti na brand za tz, ambayo inaweza kuwa competitive na brand ya Azam.? ππ Ila we jamaa unajipa moyo sana,sisi tz ndio tunamiliki AE biggest brands
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti poor product.....Azam has weak products, he sells a lot in Mombasa, very useless stuff, kule coast ako na watu wa ukoo wake na marafiki, huyu Kenya hatoboi, poor standards za products zake haziwezi survive here, energy drinks na juice ziko na after taste!!., Kenya shoprite walishindwa wakafunganya virago ndio Azam ataweza? Abaki tu kwa media, pengine atajaribu kidogo.
na angeteka uchumi wote wa kenyaAzam angefanikiwa kuingia mombasa nadhani sasa hivi angeshaiteka mombasa yote kwa bidhaa zake.
Ila kwenye zile energy drinks zake ameiteka kinoma.
We mjomba huwezi kuwa na akili timamu, heb taja kampuni kubwa hapo kwenu kenya ambayo inaweza kushindana hata na Azam tu kwamfano.? Infact sisi tunauza bidhaa nyingi uko rwanda, Burundi, Congo n.k .. binafsi hakuna bidhaa za kenya popular tz,Prove that by showing me other investments mumewekeza kwa neutral ground vs Kenya, kwa mfano DRC, Rwanda, Uganda, Burundi, Ghana, Zambia, Nigeria, South Sudan etc., kama mko na uwezo, wacha kupiga kifua yenye hamunaππ., Kama ni ukweli kwa sasa hivi hayo makampuni yangekua yameteka soko la EAC na SADC kuliko Kenya., na pia profits zao inalazimu mkusanye makampuni kama zaidi ya tano ndio ilingane na mapato ya the best from Kenya,π mapato ya 10 best performing companies za Kenya kwa ujumla ni zaidi ya kampuni zenu 30 to 40! Unajua hilo?.,
ni kweli kabisa hawa majamaa ni waoga sana,,,kenya inaihofia sana Tz,,,. Uliambiwa ukabisha haya SASA majibu hayo hapo, nyie hamtuwezi hata kidogo na tukipata fursa ya kufanya investment kwenu basi ujue ndio tumewatawala, mnatuogopa na vibiasha vyenu ucharwa