Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
ina maana chakula jamaa?Haya msikieni huyu boga π€£π€£π€£
Source by who????π€£π€£π€£π€£π€£ Mama ngina ndio aliwaambia hvoAnd that's is Nairobi,,ππ si ndyo baba yao
Ila vitu vingine bhana πππ .. dah mdomo komaAnd that's is Nairobi,,ππ si ndyo baba yao
Poverty is damn bad!ππππ, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!ππππAsante kwa kutuonyesha jinsi Wahindi walivyo matajiri huko bongo. Ndio nashangaa, kama wahindi na waarabu wana hiyo mali yote nyie mnabaki na nini ukitazama jinsi uchumi wenu ulivyo mdogo.
Hata hio pandemic hua munaisingizia tu π€£π€£π€£πππ nchi ilishakufa kabla ya coronaPoverty is damn bad!ππππ, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!ππππ
Results: Tz inaongoza kwa utapia mlo πππ.., effects ya ufukara unaosababisha kukula chakula ovyo ovyo.,Mihogo[emoji23][emoji23]
Na kama ulikua hujui kenya ndio ina leads kwenye gap between poor and rich na kama unabisha semaππππ nchi yenewe 40% watu hawana ajira wala kazi alaf gap isiwe kubwa, au aliewaroga alisahau kufukia kibubuPoverty is damn bad!ππππ, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!ππππ
Unajua statistics ya bongolala wewe?πππ., jiangalie uoneπππ na huo uchumi hafifu.., alafu was talking on middle class.., what do u have?., Tz ni juu kisha chini, period!πππHata hio pandemic hua munaisingizia tu π€£π€£π€£πππ nchi ilishakufa kabla ya corona
πππππNa kila wakati nikikuita kilaza sio utani ni ukweliπππ, so if someone is not employed, hayuko kwa employment records yeye ni masikini?πππ, pimwa mkojo dogo.,πππ., What of your middle class?.., statistics.....Na kama ulikua hujui kenya ndio ina leads kwenye gap between poor and rich na kama unabisha semaππππ nchi yenewe 40% watu hawana ajira wala kazi alaf gap isiwe kubwa, au aliewaroga alisahau kufukia kibubu
...and Kenya will pay, hakuna kusamehewa deni.., watch and see.., uchumi wa kwenye makaratasi πππππ
Vipi MZEE ulipotelea wapi.. .?ππ Leta majibu, ni raw materials gani tunawaizia alaf ninyi mnazi process for export.? Twende taratibu taratibu...and Kenya will pay, hakuna kusamehewa deni.., watch and see.., uchumi wa kwenye makaratasi πππππ
Wahindi na Waarabu wanawala vizuri sana hawa watu weusi. Imagine nimeshangaa kusoma comment moja ya Mlazy hapo juu eti Bakhresa family ina networth ya $3 billon. Halafu kwamba Metl ambayo ni kampuni ya familia ya akina Mo Dewji pia ina networth ya $3 billion. Ukiongeza Rostam ambaye ana pesa inayokaribia $1 billion basi unapata picha hii.
1. Kuna familia mbili zenye asili ya kiarabu/kihindi ambazo zina networth ya $3 billion each. Hio ina maana kwamba familia zote mbili zina total networth ya $6 billion.
2. Ukichanganya hio $6 billion ya hizo familia mbili na $1 billon ya Rostam basi unapata $7 billion.
3. Gdp ya Tanzania ni approximately $70 billion.
4. Sasa familia tatu zinamiliki $7 billion na uchumi wao ni wa $70 billion hio ina maana kuwa familia tatu zinamiliki asilimia kumi (10%) ya uchumi wa Tanzania. This is a very unequal society where wahindis and waarabus control most of the capital of the country. 3 families controllimg 10% of the economy of a country is nothing to be proud of.