Akampa loan nani ???Km alivyowalaghai akampa loan na project juu akashinda ya sgr[emoji23]
Technology inayotumika hapo bongo hakuna[emoji23]Na wenye 16 lanes waite nn kma hio 8lanes inaitwa super?? [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio maana ile ushuzi mliofungua juzi mukaita ultra modern[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1780145View attachment 1780146
Kwani SGR muliambiwa milele π€£π€£ mavi yanawatoka hata miaka 5 badoSio milele lkn[emoji23][emoji23][emoji23]
Ywataka hvo[emoji23]Ulitaka tujengewe bure kama ubungo na tazara[emoji16][emoji16] we arent used to handouts
Technology ya wapi wakat barabara yenyewe bado inamkopo ya AFDB π€£π€£π€£π€£ loan zimewamalizaTechnology inayotumika hapo bongo hakuna[emoji23]
Usiforce tufanane, naskia mwadaiwa mpaka na brazilππ mmezubaa sana.Mkenge ni ule ule kama SGR kwani unafkiri munaakili ya kumshinda mchina nyinyiπ€£π€£
Tunajengewa na nani bure hebu mtaje basi au tanzania inapendelewaπ π πYwataka hvo[emoji23]
Hata masoko pia wanajengewa bure, alafu wanakuja kutaka kushindana nasi
Haipigi kazi[emoji23][emoji23]Kwani SGR muliambiwa milele [emoji1787][emoji1787] mavi yanawatoka hata miaka 5 bado
Tufanane kwa lipi wakat nchi imeshajinyea bado tufanane tena wakat muko kwenye kundi la failed stateUsiforce tufanane, naskia mwadaiwa mpaka na brazilππ mmezubaa sana.
Inafika salama kwa nani ???π€£π€£πππHaipigi kazi[emoji23][emoji23]
Mizigo ya wakenya si inafika salama na biashara za watu zinaenda vizuri na kodi inalipwa vizuri..au namna gani wajameni[emoji2960]
Si zinatumika lkn[emoji23]Technology ya wapi wakat barabara yenyewe bado inamkopo ya AFDB [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] loan zimewamaliza
Mbona hajajenga bure sasaπππ kwan hukumsikia magufuli alisema kama wanachelew kutoa fedha serekali itatoa fedha zake na kazi imeanza π€£π€£πVipi ile stadium morocco walisema watajenga bure kule dodoma πππ
Watanzania kwa kupenda kutembeza bakuli. Siku uhunye akija bongo mtaomba awajengee thika super highwayπππ
Hatufanani kw pesa za ndani zilizojaa madeni[emoji23][emoji23][emoji23]Tufanane kwa lipi wakat nchi imeshajinyea bado tufanane tena wakat muko kwenye kundi la failed state
Zinatumika kwa nani na mikopo ya watu π€£π€£π€£π€£ ndio ile munamkopa hadija kumlipa peterSi zinatumika lkn[emoji23]
Au we hutaki zitumike
Malazy wadaiwa na mkulima binafsi from SA, kila siku wanampiga chenga mara ooh njoo kesho, mara tumejenga na madarasa, full aibu ππYwataka hvo[emoji23]
Hata masoko pia wanajengewa bure, alafu wanakuja kutaka kushindana nasi
Mtu anafunga safari kwenda ufaransa kukopa 5km railway line π€£π€£π€£π€£Hatufanani kw pesa za ndani zilizojaa madeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ilipata ajali[emoji23][emoji23]Inafika salama kwa nani ???[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Mbona hakushinda kesi sasa kama anadai ashinde kesi kwanza tujue unafkiri sheria za ardhi tanzania zinasemaje??π€£π€£π€£Malazy wadaiwa na mkulima binafsi from SA, kila siku wanampiga chenga mara ooh njoo kesho, mara tumejenga na madarasa, full aibu ππ
Bado si tunatumia lkn, km hutaki sema zitafungwa kumuenzi marehemuZinatumika kwa nani na mikopo ya watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio ile munamkopa hadija kumlipa peter
Magufuli alikufaπππ dikteta uchwaraMbona hajajenga bure sasaπππ kwan hukumsikia magufuli alisema kama wanachelew kutoa fedha serekali itatoa fedha zake na kazi imeanza π€£π€£π