Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msalaba wa msaada😂😂😂😂😂😂 pita post zangu uone vitu vikali. Ushamba mzigo.
 

Hazina ya viongozi Tanzania ni all time high.... hu ni upendeleo kutoka kwa Mungu
 

Mkunya atakuambia yeye sio mtanzania kisa anarangi nyeupe.. 🤣🤣 dumb fks
 

Huyo mama sio mtu mweusi. Wacha uongo zako.
Tony my bro , watanzania wa pwani/ mashariki na kaskazini sio watu weusi too much asilimia kubwa ni watu waliochanganya asili za kiarabu kwasababu hayo ni maeneo ambayo waarabu walifika zamani na kuanzisha familia nasi, mikoa kama tanga, unguja na Pemba, Kilimanjaro, manyara ,singida, tabora na Dodoma kidogo watu wa haya maeneo wengi sio weusi tiii, ni watu ambao wamechanganya asili , sisi sio kama nyinyi uko kwenu coz nyie mlibaguliwa na mzungu na ndio maana 99% of guys ni weusi tiii, waarabu walitufanya ndugu zetu tukaishi na tukazaanao .. Ila wote sisi ni watanzania mzee wangu
 
Sawa hamna shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…