Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kila mwenye gari anauwezo ??? Wangap gari zinawatokea kamasini 🀣🀣 tatizo linabaki unamsaidiaje mtu wa chini
Sijawahi skia mwenye ako na gari analala njaa,,mtu wa chini pia ataitumia Expressway akibebwa na matatu,,no traffic jam again,,it will be history kwa expressway
Nyweeeeeeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍
😜😜😜🀸🀸
 
Kwani petroli ikipanda wanaolalamika ni kina nani??? Si hao hao wenye magari au??🀣🀣🀣🀣 na hapo mutakutana na pain kwenye toll za mchina na bahat nzuri hakuna huduma ya sh 1 au 10 hapo ni mwendo 1750ksh alaf tuone vile mchina atakavowanyea kichwani
 
Mbona petroli ikipanda kidogo wanafungua kende zao kwanini???πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ do u think mchina mjinga kama nyinyi maboga
 
Na matatu itapita bure ama ???🀣🀣🀣 Mchina ni mtu hatari sana
 
Na matatu itapita bure ama ???🀣🀣🀣 Mchina ni mtu hatari sana
Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…