Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe!!utabaki na kawadanganya, km vidume wasizike au wakizika basi waonyeshe makaburi..
Ruto for president, hakuna kuchekeana
Mwanasiasa kawashika akili wakat watu wanakufa na ndio maana misaada ya chakula inakuja πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na aljazeera pia waongo
 
Mm nimefurah kuona mchele sasa tunawatandika kwa 2500 per kg yani wakulima watafaidika sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
watafaidika kabisa,Kenya is a Pure Customer,thank Suluhu we will continue being That way
 
Unawazungumzia wa turkana na wapokot ngoja uone πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

njaa haina baunsa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata uwe na kifua kama tembo njaa inakuondoa tu
Njaa Ni wao wenyewe kujitakia ata ukimpa Lorry Chakula Nzima,Atauza na anunue masilaha,we Cheza na Hao watuπŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…