Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika dini ya kislam kutoa ni sadaka, sadaka hutolewa kw yyte yule...waarabu wanatafuta fungu kw Mungu baba kw ajili ya maisha yake ya akhera
Kwahiyo EA nzima wameona Kenya tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
It is written clearly written OTOCBER 17. Sijaona 2017 mahali popote kwenye hiyo screenshot. How doesOctober 17 suddenly become October 2017? Na iweje taarifa yenye iko kwa link iwe dated 22 October 2020 kama taarifa yenyewe ni ya 2017?

It is clearly written OTOCBER 17. Sijaona 2017 mahali popote kwenye hiyo screenshot. How doesOctober 17 suddenly become October 2017? Na iweje taarifa yenye iko kwa link iwe dated 22 October 2020 kama taarifa yenyewe ni ya 2017?
We're in 2021 now
Thank you for history

😅😅😅

Kenya ni Poorest globally not subsaharan

 
CBD iko wapi apo[emoji3][emoji3][emoji117][emoji205][emoji117][emoji1664][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]
Ulikuwa unazungumzia mazingira ya ule miradi sio cbd bongolala hadi ukasema ni peupe. CBD ni vilaza wenzako walitaja baadae
 
It is clearly written OTOCBER 17. Sijaona 2017 mahali popote kwenye hiyo screenshot. How doesOctober 17 suddenly become October 2017? Na iweje taarifa yenye iko kwa link iwe dated 22 October 2020 kama taarifa yenyewe ni ya 2017?
We boya oct 17 maana yake ni october 2017, shule hujaenda kwn mpk tuanze kufundishana vitu vya std 1?
 
We're in 2021 now
Thank you for history

😅😅😅

Kenya ni Poorest globally not subsaharan

View attachment 1784355
Niletee taarifa ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua kati ya October 2020 na May 2021.

40% of 52 million Kenyans is approximately 20.8 million people. Sasa kati ya 28 million na 20.8 million people ni wapi afadhali?
 
Ulikuwa unazungumzia mazingira ya ule miradi sio cbd bongolala hadi ukasema ni peupe. CBD ni vilaza wenzako walitaja baadae
Kwahiyo me naweza nikasema sehemu nyeupe tu bila kuwa na mantiki? Peupe namaanisha eneo kubwa kutokea CBD ni peupe yn majengo machache huwezi fananisha na cbd yetu. Hebu ile picha yako ya Dar zen ujijibu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Niletee taarifa ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua kati ya October 2020 na May 2021.

40% of 52 million Kenyans is approximately 20.8 million people. Sasa kati ya 28 million na 20.8 million people ni wapi afadhali?
Bro, the same group of LMIC in which Tanzania is a member in, you lead the group in the extreme poverty 😅😅😅 what's not understood there?

Kama Tanzania ambayo ipo kwenye LMIC ingekua na hao masikini ingeongoza, you don't see there because we don't have such criteria 😅😅😅 simple

 
So we are leading with 20 million people wakati nyinyi mko na 28 people as at October 2020? 😂 😂 😂 Nilishakuambia kutoelewa kwako kiingereza sio kosa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…