Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujaona kibera kwenye hiyo post yangu? Ama ni ubishi tu kama ilivyo kawaida yako?
Kwani kuna kibera pekee na mizoga mengine unamuachia nani🀣🀣🀣🀣🀣 au nikuwashe sasa hvi
 
🀣 🀣 🀣 Halafu wakenya wanambio balaa.
Malawi, Comorros na Burundi ni mikoa ya Tanzania. Wanaigia Tanzania bure kabisa.
Hao awasumbuliwi,pale aggrey na congo wamejaaa waburundi hadi wanauza mifuko ma maji ya viroba,wanapiga kazi safii kabisa bila kusumbuliwa
 
Yani picha za eastlands zimemfanya alete CBD yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo ntakupiga viboko vikali sana😁😁
Si unajua hawana kwingine!? Picha zao lazima zizungukie tu pale cbd
 
Kwani kuna kibera pekee na mizoga mengine unamuachia nani🀣🀣🀣🀣🀣 au nikuwashe sasa hvi
Bongolala, kibera ndio mtaa kubwa wa mabanda Nairobi and that's why I focused on it. Licha ya huo ukubwa wake look at these two images and make a comparison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…