The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Hiyo Eastleigh ina vi apartments viwili vitatu lkn eneo kubwa pia ni ma slums kushoto kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Slums kushoto kulia
View attachment 1786889View attachment 1786892View attachment 1786894
Majengo bado mna safari ndefu, jengeni kwnz zen tuanzishe ligi ya concrete jungle.Hili jiji wachatu [emoji7]View attachment 1786911
Anatamani kusema umeiba picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunawafundisha usafi, jamaa wachafu mnoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Understand the sarcasmπππ kitengela a maasai rural area is better than anything outside dar cbd. Joke is on youπππππππππUmeanza kuiogopa CBD ya Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitaka aweke hizi ambazo ni pana na wanapita watu wengi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe unatuletea sidewalk enye hata watu wawili hawaezi pitia,[emoji23][emoji23]
Sasa hizo picha chafu mtu anaezaiba? Ona venye buildings zimechapaπ€£π€£ππ€£Anatamani kusema umeiba picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo picha huwa wanapiga ktk angle kubwa ili wakuongopee kuwa eneo kubwa liko hivyo ila ukiweka angle ndogo ndo utajuwa uhuni wa Wakenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pwahahaha. Mzee hujishitukii!?
Huto tunyumba ni family ya mtu mmoja hapa TZ tena nje kabisa ya mkoa wa Dar
View attachment 1786995
Unateseka ukiwa wapi???ππππHizo picha huwa wanapiga ktk angle kubwa ili wakuongopee kuwa eneo kubwa liko hivyo ila ukiweka angle ndogo ndo utajuwa uhuni wa Wakenya
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Maskini 14b ksh zimeenda na maji
Kusoma ndio hujui ama?Is that has anything to do with real estate investment in respective cities?
Kusoma ndio hujui ama?
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mbili hazifiki