Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you first know the economic value ya wao kufanya hivo kabla ya kuanza tu kupayuka???? Kitendo hicho kitaleta more good than bad sa zingine si kupost tu sababu lazima kupost tujaribu kuwa wakweli na kuongelea mambo ambayo yatatusaidia
So kua na akili ya kurithu nyumba ya ukoo ushagoo ndio akili mlionayo wengie ama??πŸ˜…
Nyumba hio hio ina warithi mia tatu wenye akili kama zako
 
Mlitudanganya kwamba mikataba zote zilikuwa zimetiwa saini mwezi uliopita. Ona sasa mnavyoumbuka. Kumbe hamkuwa mumetia saini mikataba zote?
Tanzania had requested for a postponement of signing in Kampala to allow to raise her stake in EACOP from 5% to 15%! Try to go through the clip by TPDC, it was well explained by Dr. Matarajio!
 
Niliwacheki hawa jamaa wa boda, mchezo mchezo, sahi wana magheto ya kishua
 
Mlitudanganya kwamba mikataba zote zilikuwa zimetiwa saini mwezi uliopita. Ona sasa mnavyoumbuka. Kumbe hamkuwa mumetia saini mikataba zote?
Ile ilikua upande wa uganda sasa inakuja upande wetu mbona unahsira sana tony kwann hvo bro 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kumbe picha za google asante bro ukituliza hasira nitag plz🀣🀣🀣🀣
Sipo arusha sasa hivi ulitaka nitoe picha wapi? Lakini next week nasafiri nitapitia huko nikupigie reality kwa uwanja
 
Sipo arusha sasa hivi ulitaka nitoe picha wapi? Lakini next week nasafiri nitapitia huko nikupigie reality kwa uwanja
Sasa kwann unapost tu kwani unapajua arusha vzr wewe??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 uliwacheki wapi ??
Staki fujo, kama huelewi nazungumzia nini, tulia na ule kitimoto taratibu.. πŸ˜‚
"From an initial daily savings of Ksh. 50, boda boda operators in Nanyuki town, Laikipia County, became the proud house owners in a project worth Ksh. 95 million."

NB;waendesha boda boda wa huko wanapiga miradi kama hii? πŸ˜‚
 
Staki fujo, kama huelewi nazungumzia nini, tulia na ule kitimoto taratibu.. πŸ˜‚
"From an initial daily savings of Sh. 50, boda boda operators in Nanyuki town, Laikipia County, became the proud house owners in a project worth Sh. 95 million."
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nanyuki, laikipia kweli jamani tunazungumza dream za kimjini ww unatuletea mambo ya ushagoo bro are u even serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…