Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ngoja tuone twitter inasemaje
Opinion vs opinion
Na watanzania wanasemaje pia, lazima ni ji entertain humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa haya mazingira gani ya kujivunia,,ona venye uswazi unafanana,,mabati yameoza,,hakuna tofauti na slums πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani tandale mwanzo mulikua munaionaje sasa hvi je?? Munahamu ya kuiongelea sasa kesho naenda yombo kaa mkao wa kula nataka kuamini ww na mzungu nani anaakili zaidi🀣🀣🀣🀣🀣
 
Masikini wa Tz world bank inapima na kigezo cha kuishi chini ya $0.9 na anapata fukara 28million ndani ya TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kenya wanapima na $2.99, wanapata 20 Million., fikiria sana semi illiterate, fikiria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa wataelewa sababu ya Kenya kuwa superpower hapa East and central Africa,,
 
Hawa 4.4m muliwasainisha kwa pesa gani au mulitumia mawe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Don YF
 
Subiri wajenge alaf ongea sasa 🀣🀣🀣 munaji race sana tulieni leo tanzania inawapeleka mputa mputa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† miaka 10 iliopita sio nyinyi mulikua munaitukana tanzania leokimy
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa Tanzania GDP bado inatapatapa kule chini,,nyi bado SanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tz ilishaingia middle income toka mwaka jana sasa wewe unatuletea hadithi za zilipendwa na za alinacha ongea facts mzee
Hata tukija kwenye inflation rate tanzania iko chini easta africa nzima unategemea maskini hatakua na ndoto ya kujenga 🀣🀣🀣 wakat ardhi kigamboni is about 2m to 5m
 
Na tandale je ilikua wapi ushagoo kesho naenda yombo sasa tukaamini kwann mzungu sio mjinga 🀣🀣🀣🀣
90% ushago wewe kelele mingi rudisha vijiweni kule unakoamkia kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Semi illiterate, since muingie LOWER middle income, pale kwa mkia dogo to be specific, bado world bank hawaja release any data, what is there ni ile ya 0.9$., wakati corona ilikua ndio imeanza, so tuambie wangapi wamepanda kutoka hiyo 28million, na vyuma vilikua vimekaza mkijaribu kushindana na Kenya ilhali mna uchumi hafifu, sasa mliiumbuliwa na CAG.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Taken 15km from cbdπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nairobi scrapers si mchezo,inaumiza watu sana
Na ni old CBD tu kwa hiyo picha, hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ ya Dar ni CBD yote!, mwanzo mwishoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kisha ushuzi kachukua ushukani kuendelea kujaza 1500 sq km πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

 
Pia mimi nimeona mido class standards za TzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, asante, no more tafadhali, nime tiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘nimekubali πŸ˜‚,
Kajilipiua 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…