Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya madish yameyumba πŸ˜€
 
Masaki inafananishawa na karen kwa density hahahahahhahaha 🀣🀣🀣🀣 Jengeni kwanza alaf murudi
 
ukiona watu wengi wanakuchunguza hadi wanapata kujua mpaka mambo yako ya undani(bedroom), na wee hataa hauna shugli nawao, ujue wee ni maarufu kweli. kenya sihami!
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ni yule yule mzungu hii ndio density munafananisha na masaki mutasubiri miaka 20 View attachment 1799081
Karen is not for density. For longest time you would not get approval to even subdivide land less than 5 acres.

Karen was meant to by like ranches, check out Laikipia as well.
 
Umeona hii pia?




Kule Kisumu kuna hii..Nina wasiwasi sana na mapaa ya "Kisumu International Stadium" yatakuja kuleta maafa!







Hebu fananisheni na Kirumba stadium ambao una miaka zaidi ya 40! na mseme upi bora!








Huu Uwanja wa CCM Kirumba kusema kweli unahitaji modernization kidogo unafikia wa Mkapa kwa uzuri yaani tuseme kama $15mln worthy of modernization! nma tunapata plus 40,000 seats International Stadium!

Serikali isiutupe huu Uwanja hii location ni nzuri sana.



MY TAKE
Huyu mama Amina Mohamed mpaka anatia aibu yaani anatetea hiki kinachofanyika Kisumu Stadium ndo walitaka awe AU general secretary?

Mutaitina what's ur opinion Kshs 400 mln ilijenga pia floating footbridge Mombasa!
 
Lishamba kweli hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…