Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leo utabadilisha misemo mpaka ukome,,,,,mara down town ,mara slum

ugua taratibu
Bwahaha!!hyo mzee wenu anaishi sehemu ya watu wenye kipato cha chini aisee, ukweli lazima usemwe, tena hta hko hko anapiga picha maganda ya mahindi yaliyohifadhiwa kando tena zaidi amekimbilia kw slums..
Poleni sana wazee[emoji2960]
 
leo umeumia sana,,,,

hebu nitumie estate hapa nizione maana nimezimis sana
 
kumbe ulikamatana naye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

daah umewatia adabu wakenya,,,

maana wengi wao hawaijui Dar huwa wanaishia kusimuliwa na geograph teacher nimecheka mpaka basi leo,,,wakenya ni wapuuzi sana
Yani Tanzania sio DSM tu ambapo unaweza uka feel proud of yaan mikoa yote ni level ya juu๐Ÿ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ