Unawatakia matatizo na wakina wanjera wenye daddy's faces from North π π πhawa jamaa picha ya mwisho nafahamiana nao[emoji23].. wengi wapo pale mliman city kwa nje na makumbusho
Ndio unaona ceiling ya gypsum mara ya kwanza dogoππππππ€£, unashangaa shangaaπ²π² inakubidi upost humu, ni majabu kwakoππππππ€£Ipo poa sana kwa kweli
Iangalie hii minyumbu π π π π
Wewe umeona gypsum tu?Ndio unaona ceiling ya gypsum mara ya kwanza dogoππππππ€£, unashangaa shangaaπ²π² inakubidi upost humu, ni majabu kwakoππππππ€£
Wacha wajikaze tu., angalau waskie vizuriπMambo madogo hayo! Na sio Nairobi sasa... π
View attachment 1804760
View attachment 1804761
View attachment 1804762
View attachment 1804763
View attachment 1804765
View attachment 1804766
View attachment 1804767
Shamba la bibi hilo, your govt knows you are genetically slow and weak kenyans can hijack your country. Lazima wakaze kinyambis lakini mama analegezaπIangalie hii minyumbu π π π π
Kwanini isiseme Sudan, Somalia, Ethiopia? Yaani inashobokea Tanzania na sisi hatuwataki dadeq ππππ
Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?Shamba la bibi hilo, your govt knows you are genetically slow and weak kenyans can hijack your country. Lazima wakaze kinyambis lakini mama analegezaπ
Tanzania tunaigeuza colony yetu ndani ya mwaka mmoja tu endapo mama ataruhusu free flow of goods and peopleπππ you people are slow and weak thanks to ujamaa.Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?
Ninyi kaeni huko huko kwenu, tunachoweza kuwahakikishia ni uhakika wa chakula kutoka kwetu sababu ninyi ni fukara na dhaifu wa chakula primarily.
Aliyekwambia imeisha ni nani, use common sense, haiko complete dadeq... πlkn umeona hicho kinachoitwa international stadium?π€¦π½ββοΈ
Naona English point imetokelezea chonjo! π₯π₯π₯
Tukikosa kuwanunulia si kitaoza mashambani kama juzi mlivyoanza kulia baada ya block, na ukumbuke sio nchi zote hufanana, so nyie wakulima, limeni aisee tunakuja kununua sisi, tena bei che kabisa! π€£ π€£ π€£Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?
Ninyi kaeni huko huko kwenu, tunachoweza kuwahakikishia ni uhakika wa chakula kutoka kwetu sababu ninyi ni fukara na dhaifu wa chakula primarily.
Na wana bahati mashamba ni property ya serikali, bila hivyo tungenunua yote tu tuwalimishe mihogo,ndio jioni wapite bezi wapate mihogo na kitimoto anga! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Tanzania tunaigeuza colony yetu ndani ya mwaka mmoja tu endapo mama ataruhusu free flow of goods and peopleπππ you people are slow and weak thanks to ujamaa.
Madam Samia BRT Phase II visit
πππDuh!!!!!...jamani hakuna battle hapa
Ndo maisha ya wenzetu kawaida Sana kwaoπHakuna battle hakuna hapa angalia huo uchafu hapo chini halafu ni cbd hapo!..