Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Phase blah blah... Tulieni tumalize halafu muongee. Vichwa vya sgr bado kuwasili, so siwezi bishana na wewe. πŸ˜‚
Kwann unawaswas wa nn wakat vinatokea south koreaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mbona munawasiwasi sana yani hamulali mukapumzika
 
White elephant inapiga kazi sana, masaa manne - matano tu kutoka Nai hadi Msa, yaani raha tu, bei che! 🀣 🀣 🀣
Alaf bado inazalisha loss ndio inapiga kazi hio 🀣🀣🀣🀣🀣

I built my house to my taste not buying into an estate with someones else taste.
Tena sio kubuy wanaonunua wachache sana wale wenye uwezo sana waliobakia ni ndoto za kurent maisha yao 🀣🀣🀣🀣
 
Kwann unawaswas wa nn wakat vinatokea south koreaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mbona munawasiwasi sana yani hamulali mukapumzika
Nyie ndo hamlali, mnawashwa na upupu wa KE kila siku, leo hili kesho lile, mkipingwa, mnalia lia hapa. Acheni kukurupuka bila facts au news za kueleweka! 🀣 🀣 🀣
 
wanajenga uwanja kama wanajenga kibanda cha kuangalia mpira.. very low standard.. wameanza brt sasa wamekuja kwenye viwanja
Ulizia cost yake sasa hukutoa chozi🀣🀣
 
Nyie ndo hamlali, mnawashwa na upupu wa KE kila siku, leo hili kesho lile, mkipingwa, mnalia lia hapa. Acheni kukurupuka bila facts au news za kueleweka! 🀣 🀣 🀣
Tatizo munaifatilia sana SGr kwann sasa inawanyima usingizi au kwasababu ndio bullet electric trains 🀣🀣🀣
Kama hzi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tena sio kubuy wanaonunua wachache sana wale wenye uwezo sana waliobakia ni ndoto za kurent maisha yao 🀣🀣🀣🀣
An average of 70% of Tanzanians are renters spending more than 25% of their monthly income to cover for housing expenses especially in major cities of Dar es Salaam, Arusha, Mwanza and Dodoma.
πŸ‘† πŸ‘† πŸ‘† 🀣🀣🀣
 
According to who james githuru??🀣🀣🀣
Source KBS kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…