Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heri hio jangwa kuliko kukosa kila kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🀣🀣🀣🀣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali tena
 
75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🀣🀣🀣🀣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali tena
Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa[emoji1787][emoji1787]
Kenya wanaonunua masofa ni investors na wanasiasa tu
 
Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
75% jangwa na 25% ambayo ni arable land ni ya wale wale wanaojulikana 🀣🀣🀣🀣
 
Keko si inakuumiza sana kumbe, mpka umekuja kulilia sebuleni[emoji1787]
 
Kwani ni yetu, ni huruma tunawaonea, yaani fisiemu na Kim wa N.K. ni kama madungu vile kwa mambo ya huko. Naskia watu wanapotezwa siku hizi? πŸ˜‚
Jubilee imeuza nchi kwa wachina au nadanganya 🀣🀣🀣🀣 mwenzako akasema america atakuja kuwaokoa
 
Ccm hamuipendi kabisa 🀣🀣🀣🀣
Ndio, kwanini iwapokonye ndugu zetu mashamba yao, ama kwa vile wengi wao ni dhaifuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lazima tuwakomboe hata uganda pia tutawakomboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…