Huwa wanafanya sana hayo mambo uwanjani...na nyie jana mkaamua kuigaKwn jwtz nao wanaruka, manake mpka waruke ndio tujue km wanaanguka au vipi[emoji1787][emoji1787]
Serekali ikukupa shamba kama hujaliendeleza inachukua mali yake ndio maana zikachukuliwa π€£π€£π€£ hapo mlipo kamujajikomboa itakuaje kuwakomboa uganda π€£π€£π€£π€£Ndio, kwanini iwapokonye ndugu zetu mashamba yao, ama kwa vile wengi wao ni dhaifuπππ lazima tuwakomboe hata uganda pia tutawakomboa.
Kwenye wheat flour hahaha karibuni sana tunawakaribisha huku π€£π€£π€£π€£π€£Mama endelea hivo hivoView attachment 1805815
Yes nimeingia haya mwambie aje anilipue vzr namsubiria π€£π€£π€£π€£Kajilipua bila kujuaπππππ Kim Dawizzy ameingia mtego wako, kazi kwako kumtafuna.
Wakiambiwa na Forbes watanzania wana millionaires wengi, wananuna πππNa hapo hapo tanzania ina millionares mara tatu ya kenya uganda and rwanda combined π€£π€£π€£π€£π€£
Muulize mseven alipokuja kenya alifanywaje, jiulize kwanini bobi wine alikuja kenya, jiulize kwanini free bobi wine hashtag ilitrend sana kenya.Serekali ikukupa shamba kama hujaliendeleza inachukua mali yake ndio maana zikachukuliwa π€£π€£π€£ hapo mlipo kamujajikomboa itakuaje kuwakomboa uganda π€£π€£π€£π€£
Sio unga bali kila kitu mpaka chupi mtavaa za kenyaπππKwenye wheat flour hahaha karibuni sana tunawakaribisha huku π€£π€£π€£π€£π€£
Haya legeza kiuno ulipuliweπππYes nimeingia haya mwambie aje anilipue vzr namsubiria π€£π€£π€£π€£
Nilienda kumtembelea ndugu yangu huko Tz, alikuwa mahututi kwa kipigo! π¬π¬π¬Hivi wewe ulishapona majeraha. π€π€π€
View attachment 1805789
View attachment 1805790
View attachment 1805791
View attachment 1805792
Mtizamo wenyu huo! π€£
Kumbe parachichi, hata huku tunauza..Wakiambiwa na Forbes watanzania wana millionaires wengi, wananuna πππ
View attachment 1805821
Hesabu za za kilaza wetu nambari moja wa jf[emoji1787][emoji1787]Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni dar[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahaha!!hzo mbwembwe huku wanafanya NYS jomba[emoji1787][emoji1787]kula yenyewe shida ndo ataweza kurusha mguu hv
Mambo ya hovyo tu yanarudi kwa kasi
Unasema Mombasa bado ghorofa 3 kuifikia dar wakati hata Nairobi hakuna hizo mbili
Wavunja matofali ni vijana wa kazi huku (NYS)... π π πkula yenyewe shida ndo ataweza kurusha mguu hv
pambana na haliyakoModerator fungua uzi wa watoto wa nursery, mmoja huyu[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]