Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣 taratibu geza nenda nao mdogo mdogo
 
Sikuwaambia hapa 🀣🀣🀣 nilipowaambia waniletee production ya hzo gari na faida iliokua generated akaanza kutoa kamasi Nicxie
2014 to 2021 bado munaahidi ushuzi wa punda ama?? Failed project again
 
wazee wa kwenda ** vichakani saa hii wataenda ** mabarabarani!
🀣🀣🀣🀣 yani ukiangalia render na uhalisia kwanza ni mbingu na ardhi ukiangalia quality yenyewe ni vichekesho

alaf anaonesha european BRT ambayo haina hata pedestrian bridge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani hawa watu wanaishi kama wanyama vile hawana huruma hawana utu kabisa
 
Duh hawa jamaa ni vituko sana
unapanga foleni hadi juu ya ngazi,,other wise mradi uwalenge watu flani,,,,,

ukigusa watu wote ikiwemo maskini wa kenya tutegemee kushuhudia vituko zaidi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…