Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mwaka lazma njaa iwaondoe πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Pipeline inawatoa kinyesi bado Ichoboy mzee wakuzungusha watalii hajapata jibu 🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka sana ulipoona kipigo hasira zikapanda ukaanza kuokota picha za google
 
Eastleigh iko level nyingine....hata kwa luckysummer,magomeni bado sana

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
kwa uelewa na experience niliyonayo ya kutuma na kupokea hela kutoka nΓ©e ya nchi.. hizo banks hazina hizo huduma.. hata mim natumia moneygram.. kupitia equity au kcb au DTB.. bank za kibongo kubwa hazitaki hizo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…