Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani wabongo, jamani..
Huu ushuzi umetoka wapi unakuja kunikera hapa, hivi uko mzima wewe? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nani ameongele BRT hapo, uliza kabla hujakurupuka kuongea mimavi wewe pingi! πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Ni wewe umesema hiyo ni BRT bus 🀣 🀣 🀣
 



MY TAKE
$150,000 mbona ndogo? Jamaa wamekosea ni $150 mln worthy of investment in Tanzania and more is coming!



 
Ni wewe umesema hiyo ni BRT bus 🀣 🀣 🀣
Hebu futa tongo kwanza. Wabongo wenzako ndio wanaijua kama "BRT" mlivyo washamba wa kutupa! 🀣 🀣 🀣
Hizo zinaitwa Cobus 3000, series ya Cobus industries buses, zinazotumika kwenye apron ndani ya airport nyingi sana duniani! πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€£ 🀣 🀣 πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

Me right now! πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Huyu mhindi akikimbilia kwao Kenya bila kulipa hizo pesa itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…