Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanatulazimishia kamusi yao[emoji1787][emoji1787]
Katika historia ya kiswahili BAKITA ndio uharo gani
We VP mbona unakua na kichwa kigumu 🙂
Daaah wakenya MNA ubishi wa Aina yake muulize huyu profesa wenu alifata nini Tanzania 🙂
 
Glosbe sio authentic Wana hitilafu kibao ni ajabu mtu akifata reference pale
Mpinge mwenzako kw hoja wala sio maneno ya khanga hapa..
Ukimuonyesha hzo hitilafu itakua vyema[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…