Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna huyu mwenzao ameshikiliwa na wanamgambo miaka na miaka yaani serikali imeamua kumtelekeza.

Usisahau pia kuwa mabwana zao haiwatambui alshabab kama magaidi wanatambulika kama wanamgambo [emoji23][emoji23][emoji23]

Terrorists! πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ Not rebels
 
Kenya mmeshapoteza wanajeshi mpaka 200? Kweli nyie hamna jeshi mnakikundi cha walevi.hii ni kwasababu ya ukabila wenu ndo maana mna jeshi ovyo
 
Kenya mmeshapoteza wanajeshi mpaka 200? Kweli nyie hamna jeshi mnakikundi cha walevi.hii ni kwasababu ya ukabila wenu ndo maana mna jeshi ovyo
Tanzania cowards mmefyata mikia ndani ya nchi, kazi ni kutumbuiza raiya kwa kuruka ruka ovyo ovyo eti karate πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚, Karate inaweza pelekana na makombora na marisasi kweli!..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tujikumbushe [emoji23][emoji23][emoji23]



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…