Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The woman alitumia mbinu zake na sasa kajengewa, maish ni ujanja..km unateseka unatafuta mbinu za kiusanii na unatoboa tu..sai unavyojitapa hapo kajengewa nyumba na hela kapewa na ywaishi maisha mazuri kuliko shangazi yako
Endelea kuweweseka.
 
Tena usisahau huwa tunawasaidia kule kukiwa na ukame ndio waweze kupata kula na kulisha mifugo yao during that period, sababu hawawezi na hawataki kutoka kule, it's their homeland, and pastrolism ndio main bizna yao. Huku kwetu hadi conservation sites and parks zinawapa boost Sana, from selling their traditional regalia to tourists na bado funds from the parks are used to uplift their communities. Park wardens and KWS officers, wao ndio huwa kipao mbele kule, coz they're sharp and know the terrain better, it's their home.
Now compare to those on Tz side, hawasaidiwi kitu, wako on their own, serikali apana tambua wao! 🤣 Mali yote ni ya serikali! 🤣 🤣 🤣
 
Huoni tunapunguza, nyie mnapanda daily ju ya kula mihogo + chai rangi, Kiepe + kitimoto, viazi + ndizi, alafu wali unawatia vitambi ka sio safura! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hawa majamaa wana tabu sana kusema ukweli, jamaa wana haki ya kuwa wakulima manake haswa..
Jamaa hata hela ya unga hana, inabidi anachuma mboga shambani hku akizichemsha apate kula na ugali wa mhogo
Pesa atoe wapi, mpaka auze sasa, alafu karibia kila mtu ana shamba, so unauzia kiasi, zingine waste! Ndio utapia mlo unapanda huko, same msosi everyday!
 
failed state [emoji90][emoji90][emoji85][emoji205][emoji1139]
 
Kipimo kimetumika hapo ni ya less than $3 a day na ndio tuko 40%. Nyinyi mnapimwa kwa kiwango cha less than a dollar a day na ndio mko 28 million people which is almost 50% of your population. Sasa tumia akili kidogo na ujiulize hali ingekuwaje kama mngepimwa kwa kiwango cha less than $3 a day kama sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…