Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda kamuulize Uhuru kwanini corruption inaongezeka.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini karne hii ya 21 nchi bado inategemea misaada ya chakula.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini slums zinaongezeka kenya.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini kenya kuna ufisadi mkubwa.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini unemployment rate ni kubwa kenya.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini anatumbukiza nchi kwenye dimbwi la madeni.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini nchi ina gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.

Nenda kamuulize Uhuru kwanini Wazungu na wanasiasa wachache wanamiliki ardhi kubwa kubwa huku wakenya wengi wakiachwa bila kitu.

Nenda kamuulize Uhuru bibiyai itasaidiaje mkunya wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mliwachezea kama vile paka anavyo chezea panya baada ya kumshika.., waliingia box haraka upesi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., dawa ya mtanzania ni kuweka ukweli wazi., wanahangaika na vijisababu..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi hii mada nilijua kwanzia mwanzo tushashinda wakati nilipoona mpinzani ni Venus Star. Huyu jamaa waga hanisumbui kabisa.
 
Kuna ID waga nikiziona najua lazima nitazichapa viboko sababu hawana ujanja kuniliko, na natumai mnawajua.
 
Kunawakati tuliwachalaza viboko kwenye hizi hotel hadi mkaanza kuleta hoteli kama za riverroad humu kwa kuishiwa
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unadaisha wanafaa kujitafakari sana sio[emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mnajua swala la modern and organised CBD tumewapiga tuna lead tatizo hamtaki kukubali πŸ™‚
Eti Dar iko organized!? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
You are taking this joke too far
 
Nilijua tu hamna majibu. Msije tena hapa kutajataja mambo ya hoteli coz ni dhahiri mnaogopa hiyo mada. Sasa piga kelele utakavyo. Adios!
 
Msiba mkubwa kwao πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” sometimes nawaonea huruma Ila nikikumbuka walivyo na vichwa vigumu nasema basi lazima wale realityπŸ™‚
 
Eti Dar iko organized!? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
You are taking this joke too far
Kweli DSM ipo organized ndo maana tuna mfumo Bora wa transport kama brt ambayo ni ya level ya juu,kingine tupo na designated areas kibao za transportation,sio kama Nairobi ambayo ardhi hamna ya kufanya what we are doing here,
Nairobi is no near when it comes mobility ya mwananchi wa kawaida, talking about Safety, comfort na effiency au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…