Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A bus terminal in different from just saying terminal. Kilaza mwenzako used the word terminal, not bus terminal. I hope you know the word terminal has different meanings in the English dictionary

What was the topic being discussed!!?
Were you discussing about battery terminals?
🀣🀣🀣
 
Nchi za kishamba West Africa kujichocha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tanzania wana iga.,


Tazama vile raiya fukara wamesukumwa mbali na mama na wana angaliwa kama majambazi etiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mikwara, yaani ni kama wanamgambo ama adui wa taifa..,


Wacha tubaki na "mlevi" wetu tu.,



 
Visibility is weakness, mere show off, nothing modern but ushamba., Kama akina Rwanda na Uganda.., combat uniform..,
View attachment 1845957
Cha ajabu hapo ni nini haswa? kilaza.,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila we jamaa unachekesha sana, sasa kwani Geza kasema ni mashindano πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb ona polisi wenu walivyo wazembe, sio bure mnapigwa na kuuliwa hovyo na vijana wa alshabab πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila we jamaa unachekesha sana, sasa kwani Geza kasema ni mashindano πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb ona polisi wenu walivyo wazembe, sio bure mnapigwa na kuuliwa hovyo na vijana wa alshabab πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
Uki post hapa anything lazima watu wa react if need be.., hii yako na security ya rais inapatana wapi?.., polisi ka perembwa hapo safi
 
Hicho kinajikuta wa mjini kweli na wala hana lolote, watoto wa mjini kila mtu hu mind ishu zake..

Yeye kutwa kuteseka na vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…