Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeamua kuleta Wikipedia.
FACTS is what matters,TZ HAMNA KITU ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…NO BRAIN ๐Ÿง  NO BEAUTY.KENYA 1 EARTH TITLE๐Ÿ˜๐Ÿคฉ,Au una wikipidia yako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ?UTAJUA HAMJUI!๐Ÿ˜ข๐Ÿ‘Ž๐Ÿคญ
 
Hii ni upuzi wa kitoto. Kama mnataka kuona watoto warembo simply ingia Instagram utabasamu hukooo. Lakini wanaume wawili kupishana kati ya TZvsKE wapi kuna warembo zaidi ni upuzi wa kiwango cha wazimu.
Swadakta shee wangu..lkn waache wa post tu huenda ikawa wote wanamega sehemu moja
 
Swadakta shee wangu..lkn waache wa post tu huenda ikawa wote wanamega sehemu moja
Hahahaha labda watuonyeshee warembo wao. Ndo tuchangamkie made, Zaidi ya apo ni ubladifukin tu. Hamna kiwango cha kupima urembo. One man's meat is another man's poison. Better turudi kwa discussion ya infrastructure
 
Yard za kujeuzia au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Eti yard ya jeuza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ alaf eti na yeye anajua Kiswahili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ me nimemwambia ntamfundisha Kiswahili bure sitaki ada yake, anakaza fuvu ..
 
Nchi yenu ina wazembw wengi mpka kila mtu anawaza makalio tu[emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mpaka ma star wanavaa vigodoro kisa wowowo, sasa hapo mtasema ni akili kweli au ni janga la taifa
Maneno ya mkosaji[emoji16][emoji16]
 
MISS UNIVERSE TANZANIA 2019 , UGLY DUCKLINGS๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚View attachment 1859477View attachment 1859479

Kuwa miss sio uzur mzee, kuna Urembo na Uzuri, hiv ni vitu viwili tofauti .. uzur ni nature Ila Urembo ni kujitengeneza ..mara nyingi mamiss hawazingatiwi kwenye uzur wao ispokua Urembo tu (kujiweka) Ila ukizungumzia uzur Tanzania kuna watu wazuri haswaaa wengi sana kuliko nchi yoyote Africa mashariki.. kuanzia sura zao, maumbo makubwa na kuvaa vizur pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ