Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni kwa Utalii wa Kanda ya Kaskazini kwa Maasai na Wasukuma na maeneo ya makumbusho nk wanaweza pata pesa hapa.
 
😆😆😂😂 Kimeumana huku ,Wakenya saidieni kuokoa jahazi la wazee 🏃🏃🏃
 
Nguvu kubwa inayotumika kujenga sgr ingewekezwa huku kwenye utalii Dar nk ingekuwa kama Miami na Barcelona kwenye utalii na mapesa mengi yangepatikana ya kujengea hizo sgr kama kumsukuma mlevi hivi.

Nchi hii wenye maamuzi hawajui wapi wajikune,wapi washike na wapi wapande yaani ni bora liende
 
Geza tupe updates za kinachojiri Serikalini achana na Wajane wa Mwendazake akina Venus,Simon,Best nk
 
koko beach is sad the sand has turned black I don't know the government officials who live there don't see any cleanliness being done professionally
 
Mzee mbona unang'ang'ana sana na masuala ya chanjo!? Unakumbuka last time uliniambia maneno mabaya sana. Niliweka kisiwa kilichopo bagamoyo.

Kwanini wewe huheshimu battle hii!? Masuala ya chanjo yanahusika vipi na battle!?
even the mother has no idea beyond the vaccine I don't see anything economic progress in her head is zero intelligence
 
From being a forbidden dessert to one of the new tourism site in kenya sooo magical
 
sasa wakiweka na wewe u go low sio? sasa tofauti ya wewe na Teargas ipo wapi? kwani dar imekosa kujipambanua kiuhalisia? Acha hizo bana! Chanjo kama si wewe mwanafamilia atakuja kuitafuta baba!
 
Watch out for this turkana place in the past all one could hear about turkana was hunger and drought but after roads were built to the area the rate at which tourists been flooding to the area am sure it's going to be a game changer this place was a hidden gem
 
watampa manji nadhani! [emoji1787] [emoji2960]
The point is, if a Tanzanian wants to see the sea, it's like going to another country and you have to pay. for all the beaches are owned by the rich is not fair at all
 
sasa wakiweka na wewe u go low sio? sasa tofauti ya wewe na Teargas ipo wapi? kwani dar imekosa kujipambanua kiuhalisia? Acha hizo bana! Chanjo kama si wewe mwanafamilia atakuja kuitafuta baba!
Mzee unapenda ligi siyo!!? Nimejaribu kukukumbusha uache watu wafanye mambo kwa Uhuru.

Nimejaribu kukuonesha why wewe ulinikataza kuweka Lazy Lagoon ya bagamoyo ukidai ni nje ya mada!!? Halafu wewe leo unaweka issue ya chanjo which ni nje kabisa ya thread. Double standard. Ukiwa na msimamo simamia msimamo wako, usiwe kigeu geu.
 
Even Tanzanians are invited let's welcome the new coolkid in town from once a deserted area to one of the most potentially viable place I know
 
 
The point is, if a Tanzanian wants to see the sea, it's like going to another country and you have to pay. for all the beaches are owned by the rich is not fair at all
wewe unafikiria Manispaa ya Kinondoni haijui hilo? Ila wanafanya makusudi ili wasingizie hawawezi kupatunza! Wapate sababu ya kupabinafsisha! Yatatokea makundi kupigia debe Manji apewe kwa kisingizio cha uwekezaji we ngoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…