nyie ndio mnaeneza kuhusu Sukuma Gang. Mnawatukana watu wa kanda ya Ziwa. Unadhani hatuwaoni. Mnataka kuipoteza legacy ya Magufuli.
Magufuli hayupo mbona unaendelea kumwongelea!? Unadhani nyie Wazanzibar mtaichukua Tanganyika.
Achana na Magufuli kabisa. Udini wako huo utakumaliza.
Hii mada iacheni ina mambo mengi sana yakufkiria naomba tuiache tuendelee na mada zingine, kila mmoja anafikra zake na mtazamo wake lakini pia kwa upande mwengine gwajima alitoa kama tahadhari kwa serekaliwacha ufalamanga wewe! Unatoa povu la kijuha!
hii niliona sonko kaweka Instagram nikaishia kuwaonea huruma wakunya. jambazi anatamba kabisa
Hebu tuachane na hii mada tuongelee mambo mengine tafadhaliUnless uwe chizi ndio unaweza kuwa muumini wa yule tapeli ,sijui walisharogwa hao watu,u can't understand
Taasisi za udhibiti ziko kwa niaba ya nani? Hizo chanzo zimeanza kutumika kwa Nchi kibao za Africa kabla yetu,what's wrong?Hio chanjo unauhakika nayo wewe kama wewe hebu nijibu kitaalamu
Mlikuwa wapi kuzuia hicho kimeta si mlikuwa na ulinzi kama Kim ,seems ni wapumbavu tuuHizo siyo kauli za kichochezi ni ukweli!? Kuna Kimeta kililetwa kupitia barua lengo kuwafuta watufulani.
Kutumika sio tatizo kila nchi lazma inasheria zake na mipaka yake pia, na pili uchunguzi wa kina lazma ufanyike, na ww uhauhakika gani kama hzo nchi za ulaya wanatumia hzo hzo chanjo munazodungwa huku africa ?? Je kama munabadilishiwa dawa na mukipewa pipi za danganya toto ?? Lazma uweke tahadhari na gwajima alitoa kama tahadhari na hakusema kama anakataa chanjoTaasisi za udhibiti ziko kwa niaba ya nani? Hizo chanzo zimeanza kutumika kwa Nchi kibao za Africa kabla yetu,what's wrong?
By the way kuna hata chanjo moja nyie mburura wa kiafrika mumewahi kuitengeneza?
Mumekalia ujinga na propaganda za dini za wazungu na waarabu,huu si ni wehu?
Wanaopinga kila siku wanazusha mambo ambayo hawajawahi thibitisha na ukiwaambia lete ushahidi hawana,pumbavu sana.
Hii mada naomba tuachane nayo tuna mambo mengi ya kuzungumza hapaMlikuwa wapi kuzuia hicho kimeta si mlikuwa na ulinzi kama Kim ,seems ni wapumbavu tuu
Legacy gani iliyopo hadi Serikali ihangaike kuipoteza na kwa maslahi gani hasa? Acheni mambo ya kijinga na kitoto,mlizoea progaganda last time awamu hii hakunanyie ndio mnaeneza kuhusu Sukuma Gang. Mnawatukana watu wa kanda ya Ziwa. Unadhani hatuwaoni. Mnataka kuipoteza legacy ya Magufuli.
Magufuli hayupo mbona unaendelea kumwongelea!? Unadhani nyie Wazanzibar mtaichukua Tanganyika.
Achana na Magufuli kabisa. Udini wako huo utakumaliza.
Sasa nani hajafanya huo uchunguzi wa kina? Kafanye wewe basi utupe majibu ya ubaya wa chanjo.Kutumika sio tatizo kila nchi lazma inasheria zake na mipaka yake pia, na pili uchunguzi wa kina lazma ufanyike, na ww uhauhakika gani kama hzo nchi za ulaya wanatumia hzo hzo chanjo munazodungwa huku africa ?? Je kama munabadilishiwa dawa na mukipewa pipi za danganya toto ?? Lazma uweke tahadhari na gwajima alitoa kama tahadhari na hakusema kama anakataa chanjo
Na usisahau hzo hzo chanjo zishaleta madhara ya hapo kwa hapo mengi tu na hatujui ya siku zijazo pia, tumia akili yako ww kama ww kuchambua
Utaua watu mzee pole pole basi
Sijui kwa nini awamu hii wanafanya U turn maono ya Magu, haya yote ni matunda ya sera zake za kibabe.Walisema abiria wote wameshuka Mombasa
Hilo zao limerudi tena sokoni baada ya kupotea kwa miaka mingi,linatumika kwa ajili ya nini hasa hadi demand yake kuongezeka?
Hilo zao limerudi tena sokoni baada ya kupotea kwa miaka mingi,linatumika kwa ajili ya nini hasa hadi demand yake kuongezeka?
Huwa nakusapoti kwenye mambo mengi,ila hapa hapana. You are very wrong this time.Mkuu, serikali kupitia wizara ya afya ndio wenye jukumu la kuthibitisha na kuruhusu chanjo itumike, tayari serikali imethibitisha hilo na kutoa agizo itumike, yeyote anayepinga lazima awasiliane na serikali kupitia wizara ya Afya, sio kupiga kelele katika mitandao, hilo ni kosa la jinai na unastahili kukamatwa kwa kosa la uchochezi.
Kama viongozi wa CHADEMA wamekamatwa kwa kuvunja Sheria ya kukusanyika katika kipindi hiki ambapo mikusanyika isiyo ya lazima imekatazwa, vipi Gwajima anapingana na agizo halali la serikali bila kufuata taratibu anaachwa?.
Mkuu, chanjo yoyote dhidi ya ugonjwa wenye kuambukizwa ni lazima duniani kote, unachanjwa ili kuwakinga watu wengine hata Kama wewe mwenyewe hupendi, chanjo ya cancer ya kizazi ambayo haiambukizi wengine ndio sio lazima.
Huyu mpumbavu Venus Star kwanza anionyeshe wapi nime-mention Sukuma gang au nimemtukana Magufuli! it is offensive kumuwekea mtu maneno! Ukabila na udini wake asipakazie watu! Fala sana huyu mpumbavu hana hoja kutwa kutapatapa!Hii mada iacheni ina mambo mengi sana yakufkiria naomba tuiache tuendelee na mada zingine, kila mmoja anafikra zake na mtazamo wake lakini pia kwa upande mwengine gwajima alitoa kama tahadhari kwa serekali
Naomba tuachane na hii mada tafadhal nikiwa kama mwenyekiti πππππ
Vijana wakienda huko wanarelax, wana release endorphins, wanaacha kujiingiza na mambo yasiyo na tija. Unapokuwa na kundi kubwa la vijana wenye stress, taifa linakosa mwelekeo, hakuta kuwa na innovation. Matokeo yake taifa linaangamia.Wengine wanaenda wapi? Unawapa bure au wanakuwa investors. Hao vijana wakienda huko beach wanaleta tija gani?
Hivyo vihela vya Manji havina impact kubwa kulinganisha na 65% ya population kuwa na kiasi kikubwa cha cortisol level (stress hormone)Private sector wachukue walete pesa hizo hadithi za sijui Nia sijui nini hakuna cha maana kinafanyika.
Achanjwe wapi bhn danganya toto tu iyo, inawekwa maji zen mikopo izidi kumiminika.nitamwona ana akili tu kama ataenda na familia yake yote kuchoma .
maana huyo kwa unafiki ajambo
Mzee achana na Mimi. Kwanini unanitafuta Mzee. Mambo ya imani ni hiari yangu. Wewe endelea na genge lenu la Muislam.