Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Wapi imeandikwa sgr hapo? Pili tumuamini Mwigulu au wewe Geza? Tatu rating kama iko juu mbona govt ina struggle kupata hiyo mikopo nafuu huko kwenye jamii za kimataifa? Mwisho wewe sio mpangaji wa bajeti za Kenya,watatumaje haukuhusu wewe hutowasaidia kulipa.Wacha upumbavu! Tanzania's credit rating ipo juu ya Kenya! Ningeona huo mkopo wa Kunyaland wa maana kama wangeenda kujenga kipande cha Naivasha-Kisumu-Malaba! Ila sioni impact yake maana wanachukua mkopo kipindi cha corona na kwa ujenzi wa highway wakati wanaendelea kusuasua kwenye ujenzi wa SGR ulioishia machakani!
Kwetu sie Samia anaenda Kigali kesho kusaini makubaliano rasmi ya electrical SGR Isaka-Kigali!
Meanwhile the bag of goodies keeps coming!
Labda miradi ya ppp ila miradi mingine ina unafuu kwenye masharti.Ni nchi ya kijinga tuu ndio inaweza kuacha kutafuta mikopo.ingekuwa kenya inakopesheka wangemaliza sgr yote mpka uganda mapemaa[emoji23][emoji23].. jamaa asubir aone jinsi sgr ya Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali zitaanza kujengwa hata kbla hio ya kenya kuelekea uganda
pia kuhusu mikopo.. hao wakopeshaji wanakuwa wagumu au wanachukua mda mrefu kweli kukukopesha pale mradi unapokuwa unafaida kubwa kwa nchi inayotaka mkopo.. ila unapowaletea proposal ya mradi wa hovyo hovyo ambao unaweza kuwa chini yao kwa mda flan au ambao wenye inflated price wanakupa mkopo fasta tu
leta evidence serikali inapata ugumu kupata mikopo! Wacha upumbavu wewe, hiyo mikopo ya Kunyaland si migumu kupata hata kidogo na ndo maana Wakunya wanalalamika online!Wapi imeandikwa sgr hapo? Pili tumuamini Mwigulu au wewe Geza? Tatu rating kama iko juu mbona govt ina struggle kupata hiyo mikopo nafuu huko kwenye jamii za kimataifa? Mwisho wewe sio mpangaji wa bajeti za Kenya,watatumaje haukuhusu wewe hutowasaidia kulipa.
Ushazeeka akili sasa pumzika.
Wewe ndio mpumbavu kubwa jinga.Nimekuuliza tumuamini Waziri wa fedha au wewe tumbili Mzee?leta evidence serikali inapata ugumu kupata mikopo! Wacha upumbavu wewe, hiyo mikopo ya Kunyaland si migumu kupata hata kidogo na ndo maana Wakunya wanalalamika online!
Wacha nikusaidie, muulize ushuru wanaokusanya mwaka mzima ni pesa ngapi. Alafu alinganishe na kenya.Wewe ndio mpumbavu kubwa jinga.Nimekuuliza tumuamini Waziri wa fedha au wewe tumbili Mzee?
Wewe umeweka evidence ya Tzn kuwa na credit rating kubwa kuliko Kenya au unaropoka tuu hapa?
Umetoka kwa 'hapa si kenya' ukaingia 'haitaisha'. Very typical of a bongolalaPinnacle tower ilianza hivi kwa mbwembwe!
Hata 88 Nairobi pia mliombea situation ya Pinnacle lakini kwa bahati mbaya kwako 88 inasonga bila worry 😂😂😂😂Pinnacle tower ilianza hivi kwa mbwembwe!
Haya majengo Ni ya wapi hapo
View attachment 1876778
upande wa kulia ni hosteli za UDSM na upande wa kushoto ni majengo ya the Law school of Tanzania!Haya majengo Ni ya wapi hapo
View attachment 1876778
Hizo hasira zote ni za kukosa any tall building under construction in Tanzani-ass😂😂😂Umetoka kwa 'hapa si kenya' ukaingia 'haitaisha'. Very typical of a bongolala
Upande wa kulia nadhani ni hostel za Magufuli,upande wa kushoto wadau watatusaidiaHaya majengo Ni ya wapi hapo
View attachment 1876778
Didn't know UDS,is that huge and developedupande wa kulia ni hosteli za UDSM na upande wa kushoto ni majengo ya the Law school of Tanzania!
Kuwa na rating kubwa ni suala moja lakini kuweza kukopesheka ukarudisha mikopo ni swala kingine.CC: Bwege Opportunity Cost !
Not unuasual to hear that from a stupid kunyan! do u know that all of Mlimani city is under UDSM's land and UDSM is also a shareholder that will fully take over the premises in the future!Didn't know UDS,is that huge and developed