Wape Kibera ..wehu haoWho told u Kenyatta ganja man au sio nenda uone unaleta dharau hapa we unafkiri Kenya ukitoa Nairobi kuna nn jinga we mm nimetembea Kenya na hakuna sehem utanidanganya mm
Hehhre asiweke Barbara Huyo sio mkenya hahahhaa hakuna LA zaidi hapo
Hahahhaha kachakachua picha hip sio dar my friend muoneni huyo hhahhhaa
huko tushapita hatuna mda wakurudi nyuma.....tushatumiana sana ivyo
Mmepita na nani, hizi picha zangu, hayo siyajui.huko tushapita hatuna mda wakurudi nyuma.....tushatumiana sana ivyo
Tumepita na wakenya wenzio washainua mpaka miguu nashangaa we umechelewa tuMmepita na nani, hizi picha zangu, hayo siyajui.
Ouch, jamaa kweli ameumiaNgoja niwateremshie bahari among the 7 wonders of the world hehhhe 2.5 million poor kenyansView attachment 480957 View attachment 480958 View attachment 480959 View attachment 480961 View attachment 480962 View attachment 480963 View attachment 480964 View attachment 480965 View attachment 480966
Wewe tuendelee, hatujamalizanaTumepita na wakenya wenzio washainua mpaka miguu nashangaa we umechelewa tu
Mitaa za jiji ya DAR is SLUM
Pathetic, this ios all u ever show........the best Dar has got
But,
Anakataa kibera hahhahaha anatupigia pics ziko karibu na kibera tushaziona muda we unapost sasa hvi umechelewa sana kumbeOuch, jamaa kweli ameumia
Tazama tena Kibera jinsi inavyojengwa upya.
Slum upgrading: Kibera residents to get new homes at last
Nyinyi mnafanya nini kuhusu hili tatizo la makazi duni mijini?
Usisahau na matopeni napo kuna maajabu 7 ya afrika
Tatizo lako ww hutokaa kujua maana ya unplanned na slum dar hakuna slum slum ya ajabu pekee afrika iko Nairobi kibera ambapo hata nguruwe hawez kuish hapoDADAAB REFUGEE CAMP VS DAR ESLUM
DADAABView attachment 480968
DAR IS SLUM
View attachment 480969
View attachment 480970
Hawa mbona kwangu ni biskuti ndani ya chai wanajifanya wajuaji sana hawa wenzao tumewawasha jioni wamekimbiaHawa waache wapost wala usisumbuke nao
nakuja na Madongo
Nataka nikeshe nao kama popo!!
Watakimbia tu
Sawa, lakini nimeuliza swali hapoAnakataa kibera hahhahaha anatupigia pics ziko karibu na kibera tushaziona muda we unapost sasa hvi umechelewa sana kumbe