Mngekuwa mna uwezo wa kuimplement miradi mikubwa na ku-run sector nyingnine effectively huyo bwege wenu asingekuwa anazunguka duniani na bakuli la kuomba misaada na mikopo. Amekuwa omba omba kupita kiasi. Na shukuruni world bank & imf kuwakopesha fedha nyingi kwa ajili ya kupambana na covid. Fedha za mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ndizo mnatumia kwenye miradi mingine. Isingekuwa covid money mngekuwa na hali tete kiuchumi na miradi yenu mingi ingekuwa halted.Miradi mingi ni kwa pesa za ndani mzee, hatusemi kama nyie, nyinyi mnajua tu akina SGR na expressway, Lamu port imejengwaq na pesa ya nani? mchina ama mzungu? ata kama ingekua mkopo, pesa ni ya kenya kwa vile sio msaada., Kenya sio size yenyu., you don't have the magnitude of programs and projects to the local levels as Kenya's., mnajua tu zile zenyu kubwa ambazo CCM wanatumia kama propaganda ili waendelee kuwatawala.., but what Kenya is doing is both macro and micro in equal measures.., the reason local govt budget is huge, education is by far bigger than any of your sector,., kuna programs running., Tanzania mko level moja na Mozambique, Rwanda na Malawi, bado mnajenga miundo mbinu, u still don't have muscles to run other sectors sufficiently.., revenue ni kidogo, budget ni ndogo ilhali revenue is not even half of it!!., mko ovyo sana,..,
Mombasa alone has more projects than entire Tanzania.Mnavyopenda sifa za kijnga muwe na miradi mingi halafu msipost hapa! Acha utani kabisa.
Express way tu tumekoma humu, mradi mmoja unapostiwa mara 1000[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnavyopenda sifa za kijnga muwe na miradi mingi halafu msipost hapa! Acha utani kabisa.
We unaongea nini mzee, yani mumeanza kujenga miundombinu karne hii basi mnajikuta wa sayari nyingine..Mngekuwa mna uwezo wa kuimplement miradi mikubwa na ku-run sector nyingnine effectively huyo bwege wenu asingekuwa anazunguka duniani na bakuli la kuomba misaada na mikopo. Amekuwa omba omba kupita kiasi. Na shukuruni world bank & imf kuwakopesha fedha nyingi kwa ajili ya kupambana na covid. Fedha za mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ndizo mnatumia kwenye miradi mingine. Isingekuwa covid money mngekuwa na hali tete kiuchumi na miradi yenu mingi ingekuwa halted.
Mzee, sai kila county ina miradi inafanga na wala haturingiMnavyopenda sifa za kijnga muwe na miradi mingi halafu msipost hapa! Acha utani kabisa.
Maneno matupu iko hapana vunja fupa. Lete evidence binti wa Changamwe!Mzee, sai kila county ina miradi inafanga na wala haturingi
Umekasirika[emoji1787][emoji1787]Maneno matupu iko hapana vunja fupa. Lete evidence binti wa Changamwe!
Nyie ndio mmeanza leo sisi miradi hadi mashinani tangu kitambo. And I can prove it.Umekasirika[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, kila county kenya kuna miradi inaendelea mzee
Na washukuru hali ya hewa ya Nairobi ni baridi. Kama hali ya hewa ingekuwa ya joto hilo pori lingekuwa linafuga nyoka wengi sana na wangewasumbua hadi ndani ya towers zao hzo. π π πHakuna battle hapa ni kuliwazana tu [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1880681
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app