Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi unataka battle ya stadiums tuirudie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hakuna battle tinarudia hapa, the last time we did the battle all you did was to show us grazing fields๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Nobody wants to see spectators seating on grass๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nchi ya mradi mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mradi wenyewe wanajengewa na nchi nyingine na hiyo nchi ndo watamiliki huo mradi kwa miaka kadhaa huku wakichajiwa kupita kwenye hiyo barabara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Is this water hyacinth ama water Lilly๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 1880947
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapa ndio Kibera kwenye mitaa ya kawaida au unajifurahisha mind yako baada ya kushiba githeri na kachumbari?
wewe unatamani sana fikra zako zibadilike zikue ukweli ili kibera iwe mtaa wa kawaida lakini utapata taabu sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hiyo inaitwa extreme slum., Sasa ina maana hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ni mbuzi na watanzania kama wewe wanaishi hapa Nairobi sio? ama unasemaje dogo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kenya sio size yenyu licha ya challenges zetu.., tofauti ni kubwa sana.., not only GDP pia kwa ground..,


 
tofauti kati ya mtaa wa Dar wa kawaida vs mtaa wa Nairobi.., ushamba vs city life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1880939
Mtaa flani Nairobi..,
View attachment 1880941
yaani nikija kenya hata nikivaa matambala nitaonekana mnyama ,,
nafunika all kenyan artists pampoja na raia wake


yaani hiki kikundi kikija bongo hovyo hovyo tunawapiga mawe nakuwaita vibaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar hakuna kitu, mombasa enyewe imeizidii hio fishing village๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapa ndio Kibera kwenye mitaa ya kawaida au unajifurahisha mind yako baada ya kushiba githeri na kachumbari?
Kama unajiamini njoo battle ya real estate ndo utajua dar ni mavi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mtu anakaa huku alafu anaongelea eastleigh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nyumba za makuti karni hii๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ