Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekimbia hadi Eldoret.., lakini hautoki.., hiyo ni nature.., ulikosa jibu ukanza kurusha mawe, kula kiburi.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚




 
Sitoki nje ya Dar.., yaani Dar tosha kabisa.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mji wa kishamba sana..,








 
Japo ni picha za miaka ya 90s lkn bado hazijafikia uchafu huu, hivi unapopost picha za Tz safi namna hiyo ujue Wakenya wenzako hawakuelewi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 

Real estate hutaki tena sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huna hamu na mimi.😁😁😁



 
TBT Dar in the 2020s..,



Kurasini kwa kina 007., Dar is slum.., watasema hii sio slum..,

Ushago in Dar..,

 
Wakuu kuna kitu nime notice, 90% ya residential house za Nairobi hazina madirisha wakuu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mji wa Kishamba kweli.., sehemu kubwa zaidi ya 85% ya Dar standards ni hizi hapa..,




 

Turning Waste into Value: AA presents at Dar es Salaam​



Turning Waste into Value: Dar es Salaam​

 
Poorly planned residentials of Dar.., njia panya, mtu hana ndoto ya kumiliki gari hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni kubwa mgeni atapotelea ndani, nimetembea hii pwani.,



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…