Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Kuna dunia tunaishi alafu kuna China, china ipo mbele ya dunia kwa mbali sana, airport terminal na makazi ya wafanyakaz hapohapo πŸ˜…πŸ˜…
 
Endelea kujifurahisha utapata picha current hivi karibuni πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aliyataka mwenyewe, leo wakenya wenzangu mtanisamehe manake sio tabia yetu lakini lazima tuwakumbushe walikotokea hawa jamaa.
Mahali wako kwa sasa., sio walikotokea, bado wako porini in a big percentage, ila wanapenda domo domo na kiherehere πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…