Kheeeee!!GDP ndio hulipa madeni siku hizi[emoji1787][emoji1787]Mind u miradi ya umeme under construction hapa bongo ni kama 3500M hiv ... [emoji23][emoji23] GDP yenu inapanda kwasababu mnakopa sanaa 80% ya GDP yenu ni madeni .. Mimi sipimi maendeleo kwa GDP, twende ground mzee uko kwenye mambo za GDP ni uongo mtupu, hamuwezi kufanya chochote mpaka mkope, sisi tunajinasimu tupo vizur kwasababu tumeweza kuyafanya makubwa in just 5 years, na upo uwezekano mkubwa kwasasa tukawa tumewapita mbali sana
Makubwa yapi? Hope usiseme kadaraja sijui na fly over nitacheka sanaMind u miradi ya umeme under construction hapa bongo ni kama 3500M hiv ... 😂😂 GDP yenu inapanda kwasababu mnakopa sanaa 80% ya GDP yenu ni madeni .. Mimi sipimi maendeleo kwa GDP, twende ground mzee uko kwenye mambo za GDP ni uongo mtupu, hamuwezi kufanya chochote mpaka mkope, sisi tunajinasimu tupo vizur kwasababu tumeweza kuyafanya makubwa in just 5 years, na upo uwezekano mkubwa kwasasa tukawa tumewapita mbali sana
Mnapiga tenda la kimataifa la kufanya nini.? 😂😂 Kwani ukikubali ukweli utakufa.? Nyie hamna uwezo wowote na ndio Mnataka mnunue umeme Ethiopia, hamjiwezi 😂😂Umeona sasa km nyie ndio bado mnazinduka sai, unatutajia sisi ongoing na wakati kwetu vipo tiyari jamani..
We jamaa heri ukalale tu manake unajiabisha bure..
Yani nyie ndio wakujilinganisha na sisi kuhusu nishati, wakati wenzenu tunapiga tenda za kimataifa kuhusu nishati..
Lala mzee baba
Usijali sio wote wanapata bahati hiyo ya kuguswa hapo.Dawa imeingia pake
Na GDP na madeni inatoana wapi??? Anadhani madeni ita rise GDP bila inchi kufanya kazi??? Kumbe ninabishana na mtu hajui anachosema ndo maana unadhani flyover ni raslimali nkt! We hata kuongea na wewe ni kuharibu wakatiMind u miradi ya umeme under construction hapa bongo ni kama 3500M hiv ... 😂😂 GDP yenu inapanda kwasababu mnakopa sanaa 80% ya GDP yenu ni madeni .. Mimi sipimi maendeleo kwa GDP, twende ground mzee uko kwenye mambo za GDP ni uongo mtupu, hamuwezi kufanya chochote mpaka mkope, sisi tunajinasimu tupo vizur kwasababu tumeweza kuyafanya makubwa in just 5 years, na upo uwezekano mkubwa kwasasa tukawa tumewapita mbali sana
Kw taarifa yako hao ethiopia tunawachimbia visima KENGEN wako hko[emoji1787][emoji1787]Mnapiga tenda la kimataifa la kufanya nini.? [emoji23][emoji23] Kwani ukikubali ukweli utakufa.? Nyie hamna uwezo wowote na ndio Mnataka mnunue umeme Ethiopia, hamjiwezi [emoji23][emoji23]
Haya ndio madhara ya kuzitumia nyege vibayaUsijali sio wote wanapata bahati hiyo ya kuguswa hapo.
Kwake flyover nchi imepaa[emoji1787][emoji1787]Na GDP na madeni inatoana wapi??? Anadhani madeni ita rise GDP bila inchi kufanya kazi??? Kumbe ninabishana na mtu hajui anachosema ndo maana unadhani flyover ni raslimali nkt! We hata kuongea na wewe ni kuharibu wakati
How are you supposed kujua the size of an economy and growth rate bila kutumia GDP????? Ama unadhani serikali ikijenga hata choo growth rate inapanda nkt... we bado hata sasa wacha nilala it's a waste of time arguing with youMind u miradi ya umeme under construction hapa bongo ni kama 3500M hiv ... 😂😂 GDP yenu inapanda kwasababu mnakopa sanaa 80% ya GDP yenu ni madeni .. Mimi sipimi maendeleo kwa GDP, twende ground mzee uko kwenye mambo za GDP ni uongo mtupu, hamuwezi kufanya chochote mpaka mkope, sisi tunajinasimu tupo vizur kwasababu tumeweza kuyafanya makubwa in just 5 years, na upo uwezekano mkubwa kwasasa tukawa tumewapita mbali sana
Nyege ndo zilikuleta duniani , we wa wapi?Haya ndio madhara ya kuzitumia nyege vibaya
Simba bwana acha kujitoa ufahamu .. mzee, tumenunua ndege 15, tumejenga international airports tatu, mbili zinamalizia ujenzi, tunatengeneza electric SGR phase 1,2&3, tunatengeneza BRT phase 2&3, tunajenga mji wa serikali wenye barabara za km 51 na dual carriage way 152km Dodoma pamoja na ukulu kubwa zaidi EA , tumetengeneza Rusumo hydro power plant. 225M, JNHP 2115M, Kinyerezi 1&2.. wind power plant ya Iringa.. tumejenga international bus terminal karibu kila mkoa pamoja na Dodoma & Dar es Salaam (mbezi Luis international bus terminal), tumejenga hospitals za kanda (referral hospitals) tatu, tumejenga na hospital kubwa EA mhimbili (mloganzira) .. tumejenga Madaraja makubwa EA kigongo busisi 3.2km, Tanzanite bridge 1.2km, kigamboni 800m, magufuli bridge 700m wami bridge 540m na mengine madogo kibao, tumejenga flyovers tano three ar under construction, tumepanua barabara na kujenga mpya karibu nchi nzima, tumejenga masoko makubwa karibu kila mkoa, tumejenga pia viwanja vya ndege vidogo vidogo maeneo tofauti tofauti.. hivi vyote ni ndani ya miaka mitano tu, je nyinyi mmefanya nini ndani ya miaka hiyo.? Hata tupigizane kelele humu.?Makubwa yapi? Hope usiseme kadaraja sijui na fly over nitacheka sana
Simba hasira za nini Ndugu yangu.?How are you supposed kujua the size of an economy and growth rate bila kutumia GDP????? Ama unadhani serikali ikijenga hata choo growth rate inapanda nkt... we bado hata sasa wacha nilala it's a waste of time arguing with you
Not bad projects but of all the projects you mentioned how many affect the general population altogether? How can a bride or a fly over affect someone back in the village?Simba bwana acha kujitoa ufahamu .. mzee, tumenunua ndege 15, tumejenga international airports tatu, mbili zinamalizia ujenzi, tunatengeneza electric SGR phase 1,2&3, tunatengeneza BRT phase 2&3, tunajenga mji wa serikali wenye barabara za km 51 na dual carriage way 152km Dodoma pamoja na ukulu kubwa zaidi EA , tumetengeneza Rusumo hydro power plant. 225M, JNHP 2115M, Kinyerezi 1&2.. wind power plant ya Iringa.. tumejenga international bus terminal karibu kila mkoa pamoja na Dodoma & Dar es Salaam (mbezi Luis international bus terminal), tumejenga hospitals za kanda (referral hospitals) tatu, tumejenga na hospital kubwa EA mhimbili (mloganzira) .. tumejenga Madaraja makubwa EA kigongo busisi 3.2km, Tanzanite bridge 1.2km, kigamboni 800m, magufuli bridge 700m wami bridge 540m na mengine madogo kibao, tumejenga flyovers tano three ar under construction, tumepanua barabara na kujenga mpya karibu nchi nzima, tumejenga masoko makubwa karibu kila mkoa, tumejenga pia viwanja vya ndege vidogo vidogo maeneo tofauti tofauti.. hivi vyote ni ndani ya miaka mitano tu, je nyinyi mmefanya nini ndani ya miaka hiyo.? Hata tupigizane kelele humu.?
Instead of showing bridged why not show such contracts by your government that actually bring economic changeSimba hasira za nini Ndugu yangu.?
Investment in the road network in the country has been scaled up to build more highways, urban roads and also to extend rural roads to where they are needed to open up areas to economic activity, trade and commerce.Simba bwana acha kujitoa ufahamu .. mzee, tumenunua ndege 15, tumejenga international airports tatu, mbili zinamalizia ujenzi, tunatengeneza electric SGR phase 1,2&3, tunatengeneza BRT phase 2&3, tunajenga mji wa serikali wenye barabara za km 51 na dual carriage way 152km Dodoma pamoja na ukulu kubwa zaidi EA , tumetengeneza Rusumo hydro power plant. 225M, JNHP 2115M, Kinyerezi 1&2.. wind power plant ya Iringa.. tumejenga international bus terminal karibu kila mkoa pamoja na Dodoma & Dar es Salaam (mbezi Luis international bus terminal), tumejenga hospitals za kanda (referral hospitals) tatu, tumejenga na hospital kubwa EA mhimbili (mloganzira) .. tumejenga Madaraja makubwa EA kigongo busisi 3.2km, Tanzanite bridge 1.2km, kigamboni 800m, magufuli bridge 700m wami bridge 540m na mengine madogo kibao, tumejenga flyovers tano three ar under construction, tumepanua barabara na kujenga mpya karibu nchi nzima, tumejenga masoko makubwa karibu kila mkoa, tumejenga pia viwanja vya ndege vidogo vidogo maeneo tofauti tofauti.. hivi vyote ni ndani ya miaka mitano tu, je nyinyi mmefanya nini ndani ya miaka hiyo.? Hata tupigizane kelele humu.?