Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jamaa kaniambia leo kwa mara ya kwanza bandari ya Dar imeshusha magari elfu tatu miasaba na ushee ..unambiwa haijawai tokea ukanda huu kushusha magari meingi hivyo kwa pamoja....ngoja nitafut pia kama wameweka mitandaoni nitai share
Ni kweli kuhusu Hilo ndo nikaweka source juu
Tranquil ace Panama meli kubwa Zaid kutoka Japan ndo walikuja na mzigo huo πŸ˜ƒ
 
Kuna jamaa kaniambia leo kwa mara ya kwanza bandari ya Dar imeshusha magari elfu tatu miasaba na ushee ..unambiwa haijawai tokea ukanda huu kushusha magari meingi hivyo kwa pamoja....ngoja nitafut pia kama wameweka mitandaoni nitai share
Unaambiwa jumla ya magari yaliokua kwenye meli Hilo 3743 na ni mara ya pili DSM port ili offload idadi kubwa ya magari na kuweka historia Africa mashariki!
Last time ilikuwa 2600 kwa mara moja Ila saiv idadi imeongezeka kwa kiasi kikubwaπŸ‘πŸ‘
 

Good boy, now class clap your hands for mainan.
Okay, another question; why GDP is not a good measure of citizens welfare of a given country!!?
 
Na mama wa tz akizaa na foreigner sheria ya tz haomtambui kama ni mtz bali inamtambua kama raia wa nchi aliyotoka baba yake
Hivi hii sheria huwa inamnyima uraia mtoto aliyezaliwa Tanzania na mama mtanzania (baba mgeni)?
 
Kweli sasa impact ya port expansion inaonekana
Kuna brother angu ni engineer kwenye both projects DSM port na Airport JNIA anasema Wanachokifanya kwenye both projects ni kuhakikisha wanaweka mfumo wa technology ambao utakua wa kipekee east and central Africa! in the future hizi projects zitakua hazina mpinzan kwa hiyo ni subira maana yajayo yanafurahisha tuwe tayari.
 
Kuna channel ilikua inaonyesha live kule youtube,niliicheck ile meli
Kuna jamaa kaniambia leo kwa mara ya kwanza bandari ya Dar imeshusha magari elfu tatu miasaba na ushee ..unambiwa haijawai tokea ukanda huu kushusha magari meingi hivyo kwa pamoja....ngoja nitafut pia kama wameweka mitandaoni nitai share
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…