Tunaumia wengi hii ndiyo sababu moyo wangu ulikuwa hautaki kuingia JF kipindi kile maana nilihisi kuna kitu kibaya kitatokea tz kila nikitaka kuingia nafsi inasita nikapoteza mudi ya dar vs nairobi ,JPM nakupenda sana baba kila siku naangalia clips zako naumia napogundua kwamba haupo nasi, popote ulipo najua unajua fika kwamba nakupenda sana baba, umetuachia mzigo mzito mno baba, kwanini ulifanya hivi baba?
Huyo mwaka ujao hakijichanganya tu kwisha habari yake ,kidogo miradi ya magufuli itambeba ila lazima hatakwama maana hana Akili nani mvivu wa kutupwa toka ujanani mwake alikuwa ni mvivu nadhani mnajua wazenji walivyo wavivu ila huyo ni top kati ya wavivu wa zenji mimi namjuaWakuu samahani sana ila napenda kusema neno moja HAKUNA RAIS MULE NI MTALII kama alivyosema NairobiWalker good night.
Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tuAcha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.
Tzn hapa kuna propaganda nyingi Sana wakati uhalisia ni zero,yaani miaka 5 serikali inajenga km 2500 za lami ndio uwekezaji mkubwa? Hadi sasa hivi mikoa kibao ina mavumbi bado afu mtu anasema mambo makubwa ,yapi hayo?
Matilioni ya air Tzn yamezalisha nini zaidi ya hasara?
Big big problem .....tutakacho fanya ni kuwapa ubunge team jpm tunao waamini siyo wasaliti na wa kikwete + ssh tunawapiga chini kwa kuchagua upinzani ,mfano watu kama January makamba na ridhiwani wakigombea ubunge tunatakiwa kuwapa upinzani dawa sisi tusipigie kura vyama tupugie kura watuTatizo hata tukipiga chini ccm tunamuweka Nani pale? Hawa mafala kina lisu?
Subiri hiyo promo wametoa ili kuzima moto wa kifo cha magufuli maana siyo cha kawaida ila ukweli upo asilimia 90% mama hakubaliki jeshini ila yamewekwa moyoni wakijaribu kuvuta subira labda mama ataendesha nchi vizuri ,ila kwa jinsi anavyo boronga sijuikuhusu majeshi kumchukia mama n uongo! katoa promotion kwe majeshi yote 'niishie tu hapa!! ila assumption sio sawa
Big big problem .....tutakacho fanya ni kuwapa ubunge team jpm tunao waamini siyo wasaliti na wasaliti wa kikwete + ssh tunawapiga chini kwa kuchagua upinzani ,mfano watu kama January makamba na ridhiwani wakigombea ubunge tunatakiwa kuwapa upinzani dawa sisi tusipigie kura vyama tupugie kura watu
Kuna tofauti baina ya promotion na maendeleo ya nchi wanajeshi siyo watoto wadogo ,watz wote kwa ujumla tunataka maendeleo ya nchi promosheni ni kwa watoto ni kama peremende "pipi" kwa watotokuhusu majeshi kumchukia mama n uongo! katoa promotion kwe majeshi yote 'niishie tu hapa!! ila assumption sio sawa
True na ukumbuke ccm bila ya magufuli ni sawasawa na mafiiii ya kukuHilo kundi la msoga ndio lilifanya watanzania waichukie sana ccm 2015, hata Upinzani wakajipatia umaarufu na kufanya Yale mafuriko wakati Wa campaigns za uchaguzi mkuu 2015, wabunge wengi Wa ccm wakapoteza majimbo..
Jemedari JPM kwa utendaji wake uliotukuka akarejesha heshima ya chama na watu wakaoma upinzani ni mafala tu kwenye uchaguzi Wa mwaka jana,
Yule mwendawazimu lisu hakuwa na agenda zaidi ya kuomba huruma ya wananchi.
Sasa naona tunarudi hatua 100 nyuma na Chama cha kijani kinaanza kuchukiwa kwa kasi kupitia utendaji mbovu na incompetency ya hali ya juu ya mama na watendaji wake kina mwigulu sijui nani
Natamani tungekuwa na mpinzani anaejielewa kama Bobi Wine tumpigie kampaign achukue nchi.
dua la kuku! hakuna kitukamaichoSubiri hiyo promo wametoa ili kuzima moto wa kifo cha magufuli maana siyo cha kawaida ila ukweli upo asilimia 90% mama hakubaliki jeshini ila yamewekwa moyoni wakijaribu kuvuta subira labda mama ataendesha nchi vizuri ,ila kwa jinsi anavyo boronga sijui
Wakati kuna ndege zime-park!Nani kakudanganya mm nimeongea na mfanyakazi wa hapa Airport ni rafiki yangu kaniambia wanapata hasara kwa kubadili ratiba ya abiria kwa kuwakodia hotel au kuwakodia ndege binafsi
maendeleo gani yaliosimama kufanyika?Kuna tofauti baina ya promotion na maendeleo ya nchi wanajeshi siyo watoto wadogo ,watz wote kwa ujumla tunataka maendeleo ya nchi promosheni ni kwa watoto ni kama peremende "pipi" kwa watoto
Mimi nazungumzia investment ya barabara zao sasa matokeo ya investment hiyo kwenye maisha ya watu ni ishu tofauti maana itategemea na sekta zingine pia.Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tu
Ndio kutoka growth ya 7% (2015) hadi 4(2019). The same to FDI kutoka @$1b (2016) hadi below hiyo mark kwa miaka yote 5 ni juzi tuu alivyoingia Samia ndani ya miezi 4 FDI zimefika hiyo mark na humu JF taarifa zipo usijifanye hamnazo.Ameuaje uchumi? Una takwimu?
Sijawahi pigia kura maccm never maana huko naamini hakuna watu wenye akili walioshika maamuzi,hata ukipigia upinzani ni wastage ya mda nchi iliyo miongoni mwa top 5 zenye idadi kubwa ya watu maskini Africa na wajinga haiwezi kuelewa demokrasia and so na deal maisha yangu full stop.Imagine watu milioni mbili wana akili kama hizi wanaenda kupiga kura.
We unaakili?Sijawahi pigia kura maccm never maana huko naamini hakuna watu wenye akili walioshika maamuzi,hata ukipigia upinzani ni wastage ya mda nchi iliyo miongoni mwa top 5 zenye idadi kubwa ya watu maskini Africa na wajinga haiwezi kuelewa demokrasia and so na deal maisha yangu full stop.
Nachotaka tuu maccm yasilete sera za ujamaa kama awamu iliyopita.
Mapendekezo yametolewa Sana ila maccm huwa yanafanya mambo ambayo itawaletea sifa na kura kwa wajinga hata kama haiwasaidii.ingependeza zaidi unapoponda kidogo uwe unatoa na pendekezo/ushauri wa kipi kifanyike
Kama zoteWe unaakili?