Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The English is Hilarious ๐Ÿคฃ ๐Ÿฅด๐Ÿคช๐Ÿ˜‚



 
Hizi ni levels Kunyaland haiwezi kufikia milele!
Bongolala si lazma tufanane...sisi tuna geothermal na tumejitosheleza kwenye umeme hatuhitaji HEP..sisi tumeweka more effort kwenye irrigation na mahitaji mengine ya maji. sasa hivi dams zaidi ya 6 zipo under construction kenya mostly for irrigation mfano thwake dam itakayogharimu approximately $800m na itachangia ardhi 40 000 acres kuwekwa kwenye irrigation pamoja na na wananchi 1.3m kupata maji..sisi tunajenga miradi yenye impact si miradi tembo
 
Ladies and gentlemen this is how a city without real estate looks like๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 1896527View attachment 1896528
Najiulizanga maswali Sana๐Ÿ™ˆYani Mazezeta wanavyodai Tanzania imepita Kenya kwa Maendeleo Mbona haionekani๐Ÿค”Ata Picha za aerial za TZ zinaonesha Ushuzi kila mahali.Wanadai pia eti wametupita kipesa๐ŸคฃMbona mpaka World bank na kila mahali wanasema TZ is poor country,kitu nimekuja kujua Tanzania are lazy they have every natural resources they need but haiwasaidii,Imagine ingekuwa Tanzania ingekuwa dry Kama Kenya how would they survive?????Mazezeta tuโšฐ๏ธ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ