Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kusoma pia hujuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, from the article imeandikwa GOK will finance the $600M while Adfb will only give $200M.
Huwa wanaona gap wanashanga shangaa vipi tena!.,
 
Kwani Tanzania hakunanga pesa za kununua rangi za kupaka barabara[emoji23][emoji23][emoji23]
ndiyo hakuna ,ila ujenzi wa hiyo barabara ukikamilika tutakuja kukopa kenya kisha tutapaka rangi,
maoni yako yamepokelewa
 
Huwa wanaona gap wanashanga shangaa vipi tena!.,
Ni wajinga Sana Hawa, they think they are the only people constructing damsπŸ˜‚πŸ˜‚. Wakati hao wanajenga moja, huku Kenya tunaskuma sita at a goπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya bhana
 
ndiyo hakuna ,ila ujenzi wa hiyo barabara ukikamilika tutakuja kukopa kenya kisha tutapaka rangi,
maoni yako yamepokelewa
And then you wonder why your country is still categorised as LDC and also behind Uganda in terms of infrastructure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
And then you wonder why your country is still categorised as LDC and also behind Uganda in terms of infrastructure [emoji23][emoji23][emoji23]
yah still ,kwani ni lini tumefika huko LDC...?,,

kumbe tumepanda
 
Ni wajinga Sana Hawa, they think they are the only people constructing damsπŸ˜‚πŸ˜‚. Wakati hao wanajenga moja, huku Kenya tunaskuma sita at a goπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Masikini akipata, matako.....,, si unajua πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., angalia Dar yoote vile inafanana., picha ya ufukara., very small developed area,.,
 
Asante kwa kulinganisha kifo na usingizi.
 
Masikini jeuri hawa watu.., egocentric tu, we know their place πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ukiskia venye wanaongea unaezadhani their connectivity rate is 98% kumbe ni 30%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…