Heheh,hii Ni flyover ama Ni zile ukuta za damπ€£π€£Chang'ombe flyover progress, kuna mkunya alikuwa hajanielewa nilipomwambia huwa tunajenga double flyover yani two in one [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1898572View attachment 1898574View attachment 1898575
Sasa usipanic Bwana Mapesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hutaki nikuquote[emoji23][emoji23]
Hebu fananisha na haya matofali yenye dampo chini [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heheh,hii Ni flyover ama Ni zile ukuta za dam[emoji1787][emoji1787]
Ila hii kampuni isipewe tena tender Tanzania!Hii hapa flyover ndefu zaidi EA, flyover mbili kwa moja, yn mkihesabu mbili sehemu tofauti huko kwenu kwenye nchi ya wapumbavu cc tutahesabu mbili pia ila ni sehemu ile ile don't forget that.
Pia hapo chini inapita the most successful BRT system in Afrika [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1898749View attachment 1898750View attachment 1898752
Kuna kambi za muda, wakimaliza wanaziondoa, ila zipo ambazo ni za kudumu ambazo huwa zinakabidhiwa kwenye shirika husika.hiv hizo nyumba huwa wanazifanyia nin wakimaliza mradi?
Hiyo ingekuwa poa ila huwa wanajenga kando kando ya mradi ambayo yanakuwa ni maendeo ya shirika. Kujenga maeneo ya nje kuna gharama za kulipa fidia.ningependa wawe wanaziproject kuzijenga kama mfumo wa shule na kuzijenga maeneo rafiki ili wanapomaliza mradi wanazifanya ziwe shule au zahanani, thou some modifications/devolution may take place
Huyu hajielewiπ€£π€£π€£Watu milioni 50 mmejitosheleza na 2000mw ??
Do you even hear yourself?
πͺπͺπͺπͺπͺπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏWakunya wanaweza kudhania hapa ni dubai
si ndomaana nasema wasipewe mradi tena kule Kenya miradi yao wamelipua na hata pale Mivinjeni waliamriwa wabomoe na kurudia kujenga!japo wanasema saiz wako vizur kispeed, nina wasiwasi na quality ya huo mradi utakapomalizika
Hawa jamaa Wanajua hii game sio mchezo cheki Barabara kama za mamtoni sasa mwambie mkunya achukue video ya hivo uone vituko π€£π€£π€£The best 007 Shebby01 nisaidie please kuzitag zile nyani zenye kelele zaidi zije zijipime ubavu na hii DSM baba lao, and guess what mchongo is not 100% done .. huu hapa π
Inakaa kama ma flyover ya Kenya eehhh, ila tusubiri ziishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]japo wanasema saiz wako vizur kispeed, nina wasiwasi na quality ya huo mradi utakapomalizika
Unatuchafulia thread!Tanzanian will forever remain an idiot, who cheated you that the biggest dam in East Africa is JNHP? Hiyo dam yenu hata thwake dam imeishinda in terms of water holding capacity.
Beloew is thwake dam under construction.
View attachment 1897957
View attachment 1897958
View attachment 1897960
View attachment 1897961
View attachment 1897962
View attachment 1897963
View attachment 1897964
View attachment 1897965
View attachment 1897966
View attachment 1897968
Mkunya muongo sijapata kuonaπ€£π€£π€£π€£π€£Ni wajinga Sana Hawa, they think they are the only people constructing damsππ. Wakati hao wanajenga moja, huku Kenya tunaskuma sita at a goπππ
Miradi yote uliyoweka hapa plus na miradi mingine ya EA kuhusu dams haifiki thamani ya JNHPP, ngoma $3bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]