Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe ni idiot siku zote.., try something else., tafuta size yako kilaza.,
Kwanini tupigizane kelele .? Kuona ni kuamini ..mimi nimeweka picha na wewe weka picha au video, ndio maana ya hii thread, hatupo hapa kujibizana kwa maneno matupu
 
Kwanini tupigizane kelele .? Kuona ni kuamini ..mimi nimeweka picha na wewe weka picha au video, ndio maana ya hii thread, hatupo hapa kujibizana kwa maneno matupu

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jipe moyo., zoea kuana estate, mpangilio, najua hizi ndio mnaanza kuziona.., lakini bado sana.., on average,
Nakuru pekee imelaza Mwanza, Dom, Arusha combined..,

Kiambu inauwa Dar

Machakos

Mombasa
Tudor, Mombasa
 
Hii hapa chini DOM au huitak.?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ next time fanya utafiti mwafaka kabla ya kukurupuka.., Dom hiyo eti?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sawa bro, nimekubali, relax sasa., next topic?
 
Chadulu is not in the city! There is Dodoma Region where there is Dodoma city!
Ni Dodoma mzee.., sio town, yaani shopping centre, ni makazi.., those dwellers go to shop and hustle in Dom town., which u call a city.., in Tz city ni moja tu., Dar.
 
Povu lote la nini wewe inakuuma nini wakijenga si wao wameamua kujenga povu la nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…